sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Nipe namba yako tuanze kuwasiliana hutajutia , kila siku full kukupigia , asubuh ,mchana, jioni na usiku .Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali?
Naombeni tu mnisaidie hili jibu
Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli hapo?
Full doze 1x4
Mpotezee mwezi , hana time na ww