Wanaume naomba tuwapumzishe wanawake hapa Jukwaani, imekuwa kero na aibu sasa haya malalamiko yetu kila saa

Wanaume naomba tuwapumzishe wanawake hapa Jukwaani, imekuwa kero na aibu sasa haya malalamiko yetu kila saa

Mtoa mada nyuzi kama hizi zenye mafunzo kwanini unataka zisiandikwe?

Yale yalio constructive na yale yalio kwel ni sawa .Tofauti na zile nyuzi za tuhuma tuhuma na specilation pia accusations dhidi yao hicho ndio kimeenea sana
 
Yale yalio constructive na yale yalio kwel ni sawa .Tofauti na zile nyuzi za tuhuma tuhuma na specilation pia accusations dhidi yao hicho ndio kimeenea sana
Soma huo uzi, ni wa tuhuma dhidi ya single mother. Ni mzuri sana[emoji1787][emoji1787]
 
Huo ni ukweli mchungu, Wanaume wamezidiwa pakubwa sana na Wanawake ndio maana kutwa kulia lia na wakiona kuna kisa Mwanamke kanyanyaswa wanafurahi hadi wanatamani wavue nguo hadharani,

Wanaume waliisha miaka ya 80, kuanzia 90 ni huzuni kwa kweli.

#KAA MGUU PANDE ZAMA ZA MWANAMKE KUTAWALA DUNIA ZIMEFIKA.
Man's dominance is something bestowed on us by God, the Almighty himself.
So the position and authority we have is here to forever stay. No one can undo that.. we are the leaders of this world.
 
kichwa cha uzi kinajieleza.

Guys, nafikiri hawa wanawake sasa tuwapumzishe , this is too much maana halipiti lisaa limoja uzi kuhusu mwanamke uko posted. Na kibaya zaid ni wanaume ndio wanalia lia kuhusu hawa wanawake , mara wanawake hivi, mara wanawake vile, jamani ndio kusema wametushinda kiasi hiki mpaka kufikia hatua ya kutema nyong every hour hapa JF??

Msome mwanamke wako, ukishamjua tulia kimya na jua namna ya kuenenda nae. Sio kisa manzi ako anapenda hela basi una kuja kulia lia hapa, tafuta hela mpe au piga chini tafuta unaye mmudu.

Kwanini uhangaike na vilivyo juu ya uwezo wako? wanasema ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Kama vimeundwa basi waundaji wapo pia. Mwanamke mzuri anagharamiwa. Sina maana kama na mimi pia nagharamia au nawapigia promo, hapana, nachofanya mimi naiba waliogharamiwa, namlaghai, nikishapata nachotaka kila mtu anaendelea na yake, i dont keep a woman that i cant afford, huo ni mzigo wa kujitakia. Halaf mwanamke ghali wala huhitaji degree kumjua kwamba hapo utatakiwa kuwekeza pesa ya kutosha, na mwanamke mjanja mjanja pia ni rahis tu kumjua so tafuta unapopamudu pambana na hapo.

Sio unataka mambo mazuri halafu huna uwezo ,ukipigwa na kitu kizito unakuja kuanza kulia lia hapa jukwaani.
Halaf mnapokesha kusema wanawake wa hapa ni ma jobless mara shapeless mara beutless hizi ni tuhuma za kishamba sana sana kutolewa na mwanaume rijali aliyekamilika,yan ni vitoto pekee ndio vinakuja na hoja kama hzi. Wewe tafuta wa size yako uone kama utalalamika. Huwezi!!!

Ukitaka vizuri vilivyokuzidi uwezo na hutaki kugharamika basi jua tu kuwa unahitaji mbinu kuvipata. Hiz ni mbinu mshtukizo, yan manzi kabla hajajua nini kinaendelea au kabla hajaanza kukupa invoice ambazo ni halali yake, kwa kutumia hizo mbinu basi anajikuta ashaliwa zamani halaf huonekani.

Unaziua hizo mbinu?
huwezi kuzijua wewe kama kila siku unakaa kulia lia hapa kuhusu wanawake badala ya kutafuta suluhisho.

Heb tuwaache hawa wanawake.Sio kila dakika tu kuwaandama kana kwamba hamna kazi za kufanya wanaume wazima.
na ujue nini, wao badala ya kulalamika, wanakaa kimyaaaa kutusoma kisha wanakaza uzi kutunyoosha zaidi. na kwa hali hii nachelea kufikiri kwamba hawa wanawake wametushika pabaya, maana haiwezekani kila siku ni wanaume tuu wanalalamika.

Ahsanteni.
Tusipoongelea mbususu unafikiri itakuaje
 
Back
Top Bottom