Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.
Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?
Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?
Hebu tujaribu kuvaa viatu vyao, kwa kiasi kikubwa single mothers ni matokeo ya kutokuwajibika kwetu, licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana, hadi ni ngumu kuishi nao