APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Huyo alijampata la kumpata.Mpo vizuri.
Acha nimshukuru Mungu kwa Baba watoto aliyenipatia kwa kweli. Ana uchungu na watoto wetu hata kuliko mimi yaani.
Shukuru Mungu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alijampata la kumpata.Mpo vizuri.
Acha nimshukuru Mungu kwa Baba watoto aliyenipatia kwa kweli. Ana uchungu na watoto wetu hata kuliko mimi yaani.
Asilimia 75 ya mtoto ni wa mama zilizo baki ni za baba, na hii ndiyo maana mtoto kwa mama hakui ila kwa baba anakua na anatelekezwa tuu fresh na baba hawazi chochoteSasa akikwambia umpe ujauzito atalea mwenyewe na wewe ndio umpe? Kwa hiyo hata kama ana uwezo wa kulea mwenyewe wewe kama mwanaume unajisikiaje uzao wako kuja duniani halafu haushughuliki nao?
Asilimia 75 ya mtoto ni wa mama zilizo baki ni za baba, na hii ndiyo maana mtoto kwa mama hakui ila kwa baba anakua na anatelekezwa tuu fresh na baba hawazi chochote
Hakika umelenga mule mule. Mi ni mwanamke lkn kwenye ukweli usemwe tu. Tena unakuta kabisa anajua huyu bwana ni mume na ana familia yake. Anaahidiwa ooh subiri nitamuacha mke wangu nikuoe wewe kwa akili mbili anaachia mapaja akidhani anamkoa mke wa kwenhe ndoa kwa kuona anapendwa kumbe anajikomoa mwenyewe.Single maza wengi wa sikuhizi ni zao la ukosefu wa akili. Mtu anajua kabisa kwamba hapendwi ila anajibebesha mimba makusudi. Akishazaa na mtu ambaye hampendi anakuwa mistreated mwisho anaachika bila kuolewa.
Wengine ndio hao anazaa na mume wa mtu kisa njaa zake za kiboya. Anainjoy kulipiwa kodi na kupewa ela za saluni. Anajihisi nae ni mke wa pili anabeba mimba huduma zikikata analia lia noki.
hahahahah anapigwa na kitu kizito sanaHakika umelenga mule mule. Mi ni mwanamke lkn kwenye ukweli usemwe tu. Tena unakuta kabisa anajua huyu bwana ni mume na ana familia yake. Anaahidiwa ooh subiri nitamuacha mke wangu nikuoe wewe kwa akili mbili anaachia mapaja akidhani anamkoa mke wa kwenhe ndoa kwa kuona anapendwa kumbe anajikomoa mwenyewe.