Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single maza wengi wa sikuhizi ni zao la ukosefu wa akili. Mtu anajua kabisa kwamba hapendwi ila anajibebesha mimba makusudi. Akishazaa na mtu ambaye hampendi anakuwa mistreated mwisho anaachika bila kuolewa. Wengine ndio hao anazaa na mume wa mtu kisa njaa zake za kiboya. Anainjoy kulipiwa kodi na kupewa ela za saluni. Anajihisi nae ni mke wa pili anabeba mimba huduma zikikata analia lia noki.

Wanaume chanzo cha singomamaza😮 Wanaume chanzo cha mashoga🙄 Wanaume kichwa cha familia🙏 Wakiamua wanaume kubadilika hizi shida zinaisha Maombi yetu hata leo Mungu awabadilishe

Ukweli mtupuTatizo kubwa zaidi niwaliowafanya kuwa "single mothers".
Wanawake wanaojiita "single mother" wanajidhalilisha wakidhani ni sifa.
Swali zuri sana maana kuna watu ni wapumbavu sana, makosa afanye mwingine mzigo apewe mwingineKwa hiyo kama tatzo kalisababisha mwanaume mwingne mimi nakua na haki ya kulibeba hilo tatizo kisa tu ni mwanaume mwenzangu?!!!!!!!
Atakusaidia kabisa😀😀😀Mungu anisaidie
Na ikawe hivyo sawa sawa na imani yako[emoji3][emoji3][emoji3]Mungu anisaidie
kama wewe ni baharia lazima umekutana nao wengi sana.Ukiwapata huko wanaotaka mimba watalea wenyewe nijulishe ili wapate wakitakacho.
NakaziaMiaka 18-25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa (mfano; ndoto za kuwa bosi fulani hivi, higher position, kumiliki mambo makubwa n.k).
Miaka 31-35 ni umri wa majuto na roho mbaya (pia ni umri wa kutengwa au kujitenga na mambo yako hususani kwa wanaume).
Mwanaume rijali kulala na mwanamke si lazima ampende. Wakati mwingine ni tamaa tuu inayo waka ndani yetu.Hapo kwenye kuoa mtu haumpendi hapo. Mwanaume rijali unawezaje kulala na mwanamke ambae haumpendi, unashindwaje kulala na huyo unaempenda. Ukiona unalala na mwanamke haumpendi na hauko tayari kumuoa basi una matatizo makubwa yaani hushindwi kwenda uwanja wa fisi au kule alikobomoa RC kujipoza.
Wanaume hatuna uchungu na watoto kama wanawake, ndo maana mwanaume anaweza acha watoto, Mtwara na yeye yuko Kigoma na wala asikumbuke kama kuna watoto katelekeza. Mtoto ni wa mamaSasa akikwambia umpe ujauzito atalea mwenyewe na wewe ndio umpe? Kwa hiyo hata kama ana uwezo wa kulea mwenyewe wewe kama mwanaume unajisikiaje uzao wako kuja duniani halafu haushughuliki nao?
Wanaume hatuna uchungu na watoto kama wanawake, ndo maana mwanaume anaweza acha watoto, Mtwara na yeye yuko Kigoma na wala asikumbuke kama kuna watoto katelekeza. Mtoto ni wa mama