Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

Usimnyooshee kidole mtu kisa ni single hali nawe una watoto ujui kesho kwako
Vidole lazima wanyoshewe tu.
Hata watoto au dada zetu wakiwa single wao ndo watanyoshewa vidole
 
Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.

Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?

Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?

Hebu tujaribu kuvaa viatu vyao, kwa kiasi kikubwa single mothers ni matokeo ya kutokuwajibika kwetu, licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana, hadi ni ngumu kuishi nao
Mkuu weka namba tukubless
 
Tatizo kubwa zaidi niwaliowafanya kuwa "single mothers".

Wanawake wanaojiita "single mother" wanajidhalilisha wakidhani ni sifa.
Tatizo kubwa zaidi ni wao na tamaa zao,hajakuoa unakubali kulambwa kavukavu hali ya kuwa unajua mzigo utaubeba wewe,Wamekuwa wa Masingle mother kwa upumbavu wao wenyewe.
Ila wale Wajane waheshimiwe na kufarijiwa,kuondokewa na wapendwa wao ni jambo zito sana.
 
Single maza wengi wa sikuhizi ni zao la ukosefu wa akili. Mtu anajua kabisa kwamba hapendwi ila anajibebesha mimba makusudi. Akishazaa na mtu ambaye hampendi anakuwa mistreated mwisho anaachika bila kuolewa.

Wengine ndio hao anazaa na mume wa mtu kisa njaa zake za kiboya. Anainjoy kulipiwa kodi na kupewa ela za saluni. Anajihisi nae ni mke wa pili anabeba mimba huduma zikikata analia lia noki.
Na hao ndo wengi zaidi.Na wanapopewa ushauri hawakuelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.

Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?

Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?

Hebu tujaribu kuvaa viatu vyao, kwa kiasi kikubwa single mothers ni matokeo ya kutokuwajibika kwetu, licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana, hadi ni ngumu kuishi nao
Chanzo cha u single mother ni zinaa!! Mwanamke anafanya ukahaba ana wanaume wa kudumu hawapungui 10 wakupita hawana idadi wenyewe wanaita kula vichwa a.k.a kudanga, money talks hapendwi mtu linapendwa pochi, wewe unajua mwanamke ni chama la wana, kila mtu anamuuzia ngono akishika mimba akikwambia yako ukubali kirahisi tu!!! Kwanza hakuna mwanaume anayekataa mtoto katika ndoa, wanawake msilaumu mmepewa mimba KATAENI KUPOKEA MIMBA HADI MUOLEWE, otherwise usimlaumu mtu akikataa mimba.
 
Back
Top Bottom