Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

Ukitumia haya maneno
Speed and direction ndo tutamaliza tatizo Soma comment yangu Juu Hapo juu
Wanaume chanzo cha singomamaza😮
Wanaume chanzo cha mashoga🙄
Wanaume kichwa cha familia🙏

Wakiamua wanaume kubadilika hizi shida zinaisha

Maombi yetu hata leo Mungu awabadilishe
 
Single maza wengi wa sikuhizi ni zao la ukosefu wa akili. Mtu anajua kabisa kwamba hapendwi ila anajibebesha mimba makusudi. Akishazaa na mtu ambaye hampendi anakuwa mistreated mwisho anaachika bila kuolewa.

Wengine ndio hao anazaa na mume wa mtu kisa njaa zake za kiboya. Anainjoy kulipiwa kodi na kupewa ela za saluni. Anajihisi nae ni mke wa pili anabeba mimba huduma zikikata analia lia noki.
Ndo maana nimezungumzia kuwa mtu akijua KUTOFAUTISHA speed na direction lazima tatizo liishe maana ukiwa subra utasubiri Hadi upate mme Bora na sahihi sasa eti Mtu anasema umri umeenda au kisa anapewa vitu vidogo Kama Kodi na chakula Basi anazaa tu huku akiwa anajua Kabisa Mambo sio marahisi haraka ni ya SHETANI tu.
 
Yes Mkuu,
Binafsi ile moment Mtu anaolewa ndani ya madhabau , huku akiwa bikra ni Jambo Ambalo linafurahisha Sana .

Sometimes natamani Sana kuona moments Ambazo ni unforgettable zikitokea katika Maisha ya watu before his/her Death
It better late and make perfectly

My bro got married marrige at the age of 35 na mke wake she was around 30 yrs niseme tu my bro ni real God fearing Sana so alitumia Muda mrefu kusoma na kujitafta kiroho Hadi kimwili sahivi yupo na 43 yrs he has three kids .
Niseme ndoa Yao imefungwa 2014 so ni moja ya ndoa Bora Sana hapa TANZANIA zilizotulia.

Niseme we need to mentor peoples about to focus on direction na sio speed all we need , ni utulivu wa Mwili roho na Akili.

Unakimbilia kuzaa eti unakimbizana na Muda unaishia kuwa single mother
Au Mwanaume unatia Mimba bila kuoa huku wewe mwenyewe huna pesa za kujihudumia na kuhudumia mtoto , haraka ni ya SHETANI tu .

To be matured is to know what to keep and what to throw.

Single mothers are supposed to be used as study case kuonesha kuwa life is not simple on Ground.

Tusiwatenge tuwatumie Kama mifano na tuwape tumaini jipya la kuishi katika Usafi wa Roho , Matendo na Mwili.
Safi sana
 
Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?


Hebu tujaribu kuvaa viatu vyao, kwa kiasi kikubwa single mothers ni matokeo ya kutokuwajibika kwetu, licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana, hadi ni ngumu kuishi nao
Wanasahau kuwa hujafa hujaumbika
 
Tunashukuru hata wapo wanaume wa kutupatia watoto,hayo mengi usiyajali wapuuze.....wanaume sasa ni wachache sana wengi wamekimbilia uwanawake.,....nao wanapiga ndulu"babe usiweke yote!😂😂😂😂🙌
 
KIfupi ni kuwa kisaikolojia wanakuwa hawako sawa,anawaza mtoto/watoto wake,anawaza mwanaume aliyemzalisha na anawaza mwanaume mpya aliyenaye,upendo wake hauwezi kuwa sawa na ambaye hana mtoto,wanakuwa kama wamevurugwa,ndio maana wanaume hawaachi kupiga kelele juu yao.Huwa hawako sawa,na kubalance swala la mapenzi wanapata shida sana mwishoe huishia kubeba lawama za ukatili,roho mbaya,usaliti n.k.....
 
Back
Top Bottom