Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

Wengine wanasema masingo maza ndio wamesababisha ongezeko la mashoga, nakataaa hao ni wanaume ndio chanzo cha kuwepo kwa mashoga,mashimo waliotuchimbia wanatumbukia wenyewe, hivi kuna mwanaume atajisikia vizur asikie mtoto aliezaaga na flan kawa shoga?yan mbegu yake imekuwa zwazwa ni laana kwako na ukoo wao. Ushoga unamdhalilisha mwanaume na uanaume wao
 
Tatizo ni kwamba wanaume wachache wanawazalisha wanawake wengi. Furaha Yao ni kuwa na mtoto baada ya hapo anaanza kulalamikia wanaume ambao hawakuhusika kuwazalisha
 
Una point. Hilo ni tatizo la mashoga pia, wanalaumiwa wanaofanyiwa, wanaofanya na ndiyo waharibifu, wanapuyanga tu
Kama anayefanya ni mmoja na wanaofanyiwa ni 10 upande upi unastahili marekebisho ili kunusuru hiyo hali
 
Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.

Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?

Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?


Hebu tujaribu kuvaa viatu vyao, kwa kiasi kikubwa single mothers ni matokeo ya kutokuwajibika kwetu, licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana, hadi ni ngumu kuishi nao

Mwishoni hapo

“licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana”

Bado umerudi kule kule sijaona ulipowatetea
 
Mtu kalelewa na single mother; Kila siku anaimba kataa ndoa bado ana guts za kumsema vibaya single mother. Hawa ni wehu wanapaswa kupuuzwa.

Nipo around mazee.
Kulelewa na single mother haifanyi single mother kuwa wanazingua hata huyo mamako aliwazingua babazako wakufikia
 
Single maza wengi wa sikuhizi ni zao la ukosefu wa akili. Mtu anajua kabisa kwamba hapendwi ila anajibebesha mimba makusudi. Akishazaa na mtu ambaye hampendi anakuwa mistreated mwisho anaachika bila kuolewa.

Wengine ndio hao anazaa na mume wa mtu kisa njaa zake za kiboya. Anainjoy kulipiwa kodi na kupewa ela za saluni. Anajihisi nae ni mke wa pili anabeba mimba huduma zikikata analia lia noki.
Hapa ndipo utawashangaa wanawake, anafurahia kulipiwa kodi na kupewa upkeep!
 
Hivi Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume ina maana unaamini Kabisa kuwa Kuna wanaume wanaowachukia single mother's?

Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeelewa changamoto za maisha amchukue Single mother.

Narudia kusema, Hakuna.

Hao unaowaona wanawaponda single mother's ni vijana na pengine ni vivulana vilivyobalehe juzi juzi hapa. Hawajawahi kuwa na majukumu ya kifamilia au vyovyote.

Mostly ni vijana wa miaka ya kuanzia 90's had 2000.

Wote tunafahamu katika harakati za maisha Kuna changamoto mbalimbali , Hawa single mother's ni zao la changamoto hizo za maisha. Kwa akili nyepesi na ya kawaida Huwezi kuwatenga hawa watu maana Kuna dada zetu, aunt zetu,wadogo zetu and the like

Kusema kwamba single mother hafai kuolewa Kwa sababu ana mtoto tayari haimake sense. Wanaume/Wavulana wengi hawajiamini , Na ndo mana muda wote huhisi kuwa single mama ni Malaya.

Umalaya ni tabia. Kuzaa pamoja haiwezi kumfanya mwanamke anayejielewa kujiachia hovyo Kwa Baba watoto wake. Sikatai wapo single mother wasiojiheshimu Ila hiyo ni tabia ya mtu. Unaweza kuoa ambaye hajazalishwa na akawa Malaya kuliko single mother. Nafikiri ni ishu ya mtazamo Tu.

Tuwape heshima zao hawa viumbe.
 
Single mothers hapana!

Nina aunt yangu ni single mother wa watoto wa wili , kila mtoto na mzazi wake ni pasua kichwa kweli kweli, kutukana wanaume kwake sio jambo geni.
Ana matatizo mengi huyo.
  • Matatizo ya kisaikolojia
  • Mapepo
  • Matatizo ya kihisia
  • Matatizo ya kimahusiano
  • Migogoro binafsi
  • Migogoro ya koneksheni
 
Chanzo cha single mother kwa asilimia kubwa ni:-
1.F*ck boy.
2.Playboy.
3.Waume za watu (Wanawake wengi wanaamini wanajua kutunza na kulea).
4.Tamaa ya fedha.

Ukiwasikiliza single mothers wengi kwenye story zao za mahusiano, huwaga wana kili kabisa kulikuwa na mtu (hawa waseminari wamepachikwa jina la weak boy),ambaye alikuwa yupo tayari kumuoa kipindi bado yupo mbichi, ila kwa ujinga wao huwaga wanakataa. Mara nyingi wakishagonga ukuta hutamani kurudi ,ila ndio hivyo huwakuta wenzao washa move on.

80% ya single mother ni machaguo/maamuzi yao wenyewe ya kijinga ndio yame wafanya wawe hapo na mara nyingi kuna watu huwaga wana washauri ila ndio wanakuwa hawataki kuelewa.

Cha msingi tuwafundishe mabinti zetu wasiwe na tamaa ya fedha (huu mtego mabinti wengi siku hizi huwanasa), wajue nini thamani ya maisha yake na aina za watu anao kutana nao, tuwafundishe kumjua Mungu na tuwaombee kwa Mungu wakutane na watu sahihi na wafanye maamuzi sahihi.
 
Solution ya single mothers, parents should marry their girls off.

Azawaiz, wenye pharmacy na madokta uchwara wataendelea kupiga pesa...

Plus more single mums...

..and other filth...
 
Wewe bado hujapigwa matukio na singo maza ndio maana unayatetea haya madubwasha...

Kama bado hajakuonesha kaburi la baba wa mtoto wake,bora ukalale kituo cha polisi kuliko kuoa singo maza....

Mimi kwa matukio niliyopigwa na singo maza hata nimkute anapigana na nyoka,nitamsaidia nyoka...
Anatafuta huruma humu jukwaani maana masingo maza wamejaa tele
 
Hapa ndipo utawashangaa wanawake, anafurahia kulipiwa kodi na kupewa upkeep!
Wapumbavu sana wanawake wa aina hio. Mie sheria mwanamke ajitegemee kwanza kabla sijatia ziada. Sio mwanamke unamuita kuja kuliwa hata hela ya nauli hana its a very sorry life.
 
Back
Top Bottom