Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mzee bado upo kwa Biden J au ushaanguka hapa bongo?Mtu kalelewa na single mother; Kila siku anaimba kataa ndoa bado ana guts za kumsema vibaya single mother. Hawa na wehu wanaopaswa kupuuzwa.
Nipo around mazee.
Wajane watamu sana lakini tuseme ukweli tu sio uongo,Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.
Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?
Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?
Hebu tujaribu kuvaa viatu vyao, kwa kiasi kikubwa single mothers ni matokeo ya kutokuwajibika kwetu, licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana, hadi ni ngumu kuishi nao
Singo maza? ARE YOU SERIOUS MKUUWanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.
Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?
Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?
Hebu tujaribu kuvaa viatu vyao, kwa kiasi kikubwa single mothers ni matokeo ya kutokuwajibika kwetu, licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana, hadi ni ngumu kuishi nao
🤜👏🦾Wewe bado hujapigwa matukio na singo maza ndio maana unayatetea haya madubwasha...
Kama bado hajakuonesha kaburi la baba wa mtoto wake,bora ukalale kituo cha polisi kuliko kuoa singo maza....
Mimi kwa matukio niliyopigwa na singo maza hata nimkute anapigana na nyoka,nitamsaidia nyoka...
Usigeneralize,sio wote wapo hivyo,ni hao vichaa wachache uliokutana nao,kuna wengine wako poa tuWewe bado hujapigwa matukio na singo maza ndio maana unayatetea haya madubwasha...
Kama bado hajakuonesha kaburi la baba wa mtoto wake,bora ukalale kituo cha polisi kuliko kuoa singo maza....
Mimi kwa matukio niliyopigwa na singo maza hata nimkute anapigana na nyoka,nitamsaidia nyoka...
Mzee bado upo kwa Biden J au ushaanguka hapa bongo ?
Kwani hizo mimba huingizwa kwa wireless au wifi? Au single mother wote walibakwa? , Hayo yatabaki makubaliano ya watu wawili, kabla shetani hajakaa katikati yao ? .. kuna mambo mengi hapo mengi hatujui,Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.
Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?
Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?
Hebu tujaribu kuvaa viatu vyao, kwa kiasi kikubwa single mothers ni matokeo ya kutokuwajibika kwetu, licha ya kwamba kuna wanawake wengine ni pasua kichwa sana, hadi ni ngumu kuishi nao
Mentorship ni kwa wote broBinafsi watoto wa kike wanabidi Kupata mentor mzuri katika makuzi yao yote Hadi uzeeni, tofauti na hapo tatizo la single mothers halitoisha m
Usigeneralize,sio wote wapo hivyo,ni hao vichaa wachache uliokutana nao,kuna wengine wako poa tu
Mimi nipo kwa MwamsojoMzee bado upo kwa Biden J au ushaanguka hapa bongo ?
Yes Mkuu,Mentorship ni kwa wote bro
Kuna mstari mwembamba sana kati ya hao vichaa na wazima...huwezi kutofautisha kwa harakaUsigeneralize,sio wote wapo hivyo,ni hao vichaa wachache uliokutana nao,kuna wengine wako poa tu
Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.