Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

Akifika mpe mimba, hajakaa sawa mpe ya pili. Akili inakuja kumkaa sawa tayari ana watoto 4.

Kuna watu wapo kwenye ndoa mwaka wa 7 mtoto wamepata mmoja tu wengine hawajapata. Kisa? Kaka kaoa sister du la mjini.

Mkinipuuza mtanikumbuka
Ila kweli
 
Kuna ukweli mtupu..wadada wa mjini..p2 wanameza kama panadol..siku wakitaka kushika mimba ni mtafutano mara uvimbe..mara pid..mara hormonal imbalance.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna ukweli mtupu..wadada wa mjini..p2 wanameza kama panadol..siku wakitaka kushika mimba ni mtafutano mara uvimbe..mara pid..mara hormonal imbalance.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji23] ni mtafutano[emoji16]
 
Huu Uzi kama utani tu.
Ila uzazi Sasa hivi kwa wanawake ni WA kutafuta kwa tochi.
Vidonge vya uzazi wa mpango vimepoteza Sana kizazi Cha wanawake.
Wengi wadada wa mjini unakuta Ana mtoto 1 alizaa akiwa bado mshamba mshamba.
Alivyozijua p2 ikawa ndio ntolee.
Anatafuta ujauzito kwa tochi.
Familia inaishia kuwa na mtoto mmoja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa Inabidi nikaweke kambi kule SINGIDA vijijini nijopolee ata kamnyaturu kamoja kabush Afu maisha yaendelee
 
Huwa tunasingizia majaaliwa lakini ni 1% ya hao wenye shida.
Yaani mtu ndio naturally Ana shida.
Ila wengi
Wamechoropoa mimba mpaka kizazi hakishiki Tena
Wametumia vidonge vya uzazi wa mpango mpaka homoni zao hazirespond Tena.
Wengine mpaka vizazi vilitolewa kabisa lakini wanataka kuolewa na kuhangaisha vijana wa watu.
 
Ni ukweli mtupu ndugu. Wadada wa mjini tangu hajabalehe starehe yake kuu ni ngono. Unategemea akifikisha miaka 25 huko kwa bibi kunakuwa kumechoka kiasi gani?
Unakuta mfumo wa uzazi umejaa kemikali za kuzuia mimba mpk amepraganya mtiririko wa homoni za kike.

Unakuta blidi inatoka wiki 3 mfululizo halafu ikiacha inakaa mezi kadhaa.

Au tumbo linamkata mpk analazwa hospitalini wakati wa blidi utadhani kanywa sumu ya panya.

Ukiyaona haya ujue umepigwa . Kimbia
 
Kwahiyo sisi wa mjini ni artificial and infertile😀😀
Huna cha kutushauri? Unatukandia tu
 
Ukweli mchungu wa dada wa mjini hasa waliofika vyuoni wengi wao ni tatizo kubwa..mana walipenda sana bata ila mimba hawataki..kifuatacho wanageuka wakemia wa midonge na misindano ya kuzuia mimba ama kuchoropoa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwahiyo sisi wa mjini ni artificial and infertile[emoji3][emoji3]
Huna cha kutushauri? Unatukandia tu
Sio wote ila wengi wa wadada wa mjini uzazi wao umekua tatizo sana..mara hormonal imbalance..mara fibroids..mara pid yani vurugu tupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sio wote ila wengi wa wadada wa mjini uzazi wao umekua tatizo sana..mara hormonal imbalance..mara fibroids..mara pid yani vurugu tupu.

#MaendeleoHayanaChama
Ni kwasabb ya ngono zembe wanazozianza wakiwa wadogo huku wakizuia mimba kwa midawa pamoja na kuchoropoa mimba. Yaani ni shida!
 
Wa mjini washaenda milage sana hata ham ya sex hawana anatega tu bora liennde
 
Swadaktaaa! Umeoa mtu mwenye kila kitu natural. Achana na madada wa mjini hawa. Wanaficha harufu zao mbaya kwa kutumia marashi na vipodozi

Sijaoa,ila ni kweli kabisa haya madada ya mjini nayo ni shida tupu
 
Sijaoa,ila ni kweli kabisa haya madada ya mjini nayo ni shida tupu
Ukioa haya madada ya mjinj likiwa na mimba ya miezi 3 tu unakuwa ushatembea hospitali zote na maspecialist wa magonjwa wote utawajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…