DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Sawa, kuwa na siku njema.Wakiume na si dhaifu mbele yao kwa kua sina unyanyasaji wa kubepari natumia terminology sahihi kuwaelekeza hata wakiniona wanapata faraja lkn wewe mkuu utapata shida sana na hizi attitude zako za miaka ya Sabini(70) ambapo ilikua tanzania ya Giza!
Haya unaiona kwasababu ni dhaifu.Aibu ni hali ya kuona (HAYA)
Udhaifu ni unyonge na huu unyonge unatokana na mabavu ambayo wengi wetu tumekua tukiyaonyesha mbele zao na kujikweza lkn inapofikia tu siku umekosa kidogo mbele yao huwa wanaanza na kukudharau na kisha unakua dhaifu mbele Yao.
HayFeminism [emoji706][emoji706]. Yan mwanaume umekaa unahaikweza mbavu (ya kushoto) eti iuzidi mwili. Mwanamke atabaki kuwa mbarara tu mpaka jua litapochomozea magharibi.
upo sahihi mkuuUmeongea viingi yawezekana yapo meeng tu ya ukwl nakubaliana na ww....lakini pia wanawake ni dhaifu yaaan ndio maana mkiwa tunaoshi kwa kutegemeana mfano Viongoz wa kike huoni wanaforce 50 kwa 50 yaani kama ww ni bora utachaguliwa tu kuwa kiongoz ,ata mfano YAKO apooo juu ya wanaume wapo pia wanawake wa dizaini hizo hizo na kuonekana dhaifu na wanaume
La msingi ni kwamba hakuna mwanadamu aliemkamilifu ,,jinsi ulivyomwepesi kuoni madhaifu ya mwenzako na mwenzako ni hivo hivo juu YAKO NOBODY IS PERFECT
Mfano mwanamke anapotongozwa huona aibu(HAYA)Haya unaiona kwasababu ni dhaifu.
Wakiume na si dhaifu mbele yao kwa kua sina unyanyasaji wa kubepari natumia terminology sahihi kuwaelekeza hata wakiniona wanapata faraja lkn wewe mkuu utapata shida sana na hizi attitude zako za miaka ya Sabini(70) ambapo ilikua tanzania ya Giza!
Unaamini katika maandishi lkn hiyo roho bado inaonekana inamashaka, Kitendo cha kutokubalina na hali ilivyo kwa sasa inashiria hali ya udhaifu ulionao.Kwa taarifa yako tu aliyemuumba Ke mwenyewe alikiri dhahiri kuwa "KE NI KIUMBE DHAIFU"
Mi ni nani haswa hata nipingane na kauli yake Mungu?
Mwanaume rijali ni yule ambaye hana udhaifu kwani anajali na kuzingatia haki na sio mabavu wala ubabe dhidi ya mwanamke na kwakufanya hivyo hautapungukiwa na kitu chochote ila utakua umejiwekea misingi ya kuheshimika na kuaminika pia.Kuwa makini usije ukaanza kuwa na mambo ya kike.
Ngoja nikwambie kitu, sasa hivi kumekuwa na aina fulani hivi ya campaign kwenye jamii yakuwafanya wanaume waone ni sawa tu kuact kama wanawake.
Hiyo si sawa. Utapotea
Mwanaume rijali ni yule ambaye hana udhaifu kwani anajali na kuzingatia haki na sio mabavu wala ubabe dhidi ya mwanamke na kwakufanya hivyo hautapungukiwa na kitu chochote ila utakua umejiwekea misingi ya kuheshimika na kuaminika pia.
Tunaishi na Ke sababu wanatuzaa na kutuzalia tu, mbali na hapo Ke ni dhaifu saaana na tena kizuri zaidi hata wao wenyewe Ke huwa hawajui akili zao zinatakaga nini haswa toka Me wakiwa ktk mahusiano ya mapenzi au ndoa [emoji16]Unaamini katika maandishi lkn hiyo roho bado inaonekana inamashaka, Kitendo cha kutokubalina na hali ilivyo kwa sasa inashiria hali ya udhaifu ulionao.
Huko kumpeleka kijeshi ndipo unapoonyesha udhaifu wako kwani uliambiwa ukali ndio njia sahihi ya kuelekeza!Haki ipi unazingumzia?
Mwanaume lazima uwe mtoa maamuzi kwenye familia au uhusiano uliopo.
Tofauti na hapo wote mtakuwa wanawake na very soon mwanamke ataanza dharau.
Mwanamke hata awe mrembo vipi usisahau kumpeleka kijeshi kimtindo.
Sio kweli wapo wachache ambao kujielewa huwa inawachukua mdaa kidogo lkn wapo wale ambao wamepata kujitambua na wanapamba kwelikweli kuliko hata sisi wanaume!Tunaishi na Ke sababu wanatuzaa na kutuzalia tu, mbali na hapo Ke ni dhaifu saaana na tena kizuri zaidi hata wao wenyewe Ke huwa hawajui akili zao zinatakaga nini haswa toka Me wakiwa ktk mahusiano ya mapenzi au ndoa [emoji16]
Hakuna aliyekamilifu hata mungu....kwahyo kukosea hakumfanyi mtu kuwa dhaifu.Mfano mwanamke anapotongozwa huona aibu(HAYA)
Ila wananume tukikosea huwa tunadhaulika na kuwa dhaifu
Mcqueenen kidogo unatafari nzuri lkn hicho unachozungumzia wewe ndio kimefanya vijana wengi wa kiume wamepoteza uhalisia wao kwa kushindwa kutofautisha aibu aliyonayo mwanamke kwa mwanaume na kujikuta wao ndio wanakua dhaifu mbele ya mwanamke.Hakuna aliyekamilifu hata mungu....kwahyo kukosea hakumfanyi mtu kuwa dhaifu.
Strong men are those that fail and wake up stronger.
Na kudharaulika hakumfanyi mtu kuwa dhaifu.
Binadamu anaweza akakudharau tu kwasababu wewe ni dini tofauti na yeye, hiyo itakufanya wewe kuwa dhaifu?
Lakini aibu (soni) ni kitu psychological kabisa ambacho binadamu huwa anafeel hiyo hisia pale ambapo amekutana na binadamu mwingine(haijalishi jinsia) ambaye kiakilini mwake ameamini yupo juu yake na amemuweka katika awkward situation , hivyo aibu ni dalili kubwa ya udhaifu psychologicaly speaking.
Kukukojolea sekunde saazingine hutokana na wewe mwenyewe dem!Onhoo,huwajui vizuri hawa wenzio...kakojoa sekunde kama jogoo...eti usimwambie bali umsifu ..eti,"babe wangu,we una pumziii!....waapiii!?
hiyo miongozo ana pewa na jinsia gan ?Hapa mimi si mwanaume dhaifu na sio bepari pia!
Mwanamke akipewa miongozo imara hua anaimarika maradufu zaidi ya mwanaume mbabe na bepari
Udhaifu uko hapo, Power is not given it is takenMwanamke akipewa miongozo imara hua anaimarika maradufu zaidi ya mwanaume mbabe na bepari