Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake

Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake

Kukukojolea sekunde saazingine hutokana na wewe mwenyewe dem!

Mtu kaonesha hisia na unaona kabisa jamaa kaingia kingi "kakufia", halafu unaendelea kumzungusha mwaka mzima, unategemea performance ya maana siku mtapokutana?

Kwanza kwa mashoga zako ama kwa kuwadi wake ushamsema vibaya na kumtukana kwamba: "lione, kwanza bayaaa" na msimamo wako kwamba haumtaki!

Jamaa anajiongeza hakati tamaa kukusorolea, mwishowe unamkubali kwa sharti la kumtoza hela kubwa akishindwa aache na mkimalizana asikuzoee!

Jamaa anasikia masharti hayo na anakubali kuyatekeleza, atafanyaje!

Sasa wadhani mwanaume kama huyo atakuwa na utulivu kwenye kinena chako siku atayokupata?

Kutokana na presha kubwa ya kihisia uliyomdhalilishia, waweza kuta jamaa anamwaga huku akilia machozi kama mtoto mdogo kwa kumbukizi hasi za manyanyaso ulomfanyia na siyo kwa hisia za kukupenda kupindukia!

Akienda "sehemu" iliyotulia, mtu huyo huyo mambo atayafanya kimpangilio kwa furaha na kufurahishana, kwa sababu hakuna shinikizo kichwani mwake.

Mwanaume atakojoaje kipumbaf pumbaf kama kuku bila sababu bhana?

Labda awe mgonjwa ambapo suala hilo lina mada yake.

Ogopa sana mwanaume kunyanyaswa kisaikolojia katika mapenzi, hawezi kufanya kwa kiwango cha ubora kwa sababu ulishamtoa kwenye reli ya confidance ukammaliza akaisha!

Kuweni na utu linapokuja suala zima la kupendwa, acheni kuringa na kunyanyasa wanaume!
Umeandika mno,sijui yamewahi kukuta
 
Pale mwanaume dhaifu anapoona na wengine wote ni dhaifu kama yeye.
wanawake wamepewa vitobo na utamu wa mwanaume, wakikasilika basi Mwanamme hawezi kupata utamu mwisho wasiku inabidi mwanaume na ubabe wake wote akubali kupiga goti.
kiboboso acha hiyo asili yako ya ukaidi mbona hapa Nangu Nyau kamaliza ubishi wewe zunguka zunguka kama kuku aliekatwa kichwa mwisho utatulia tu! Na hapo ndipo unapompa nafasi mwanamke kutambua udhaifu wako!
 
Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na nguvu anaweza kujitahidi kupiga kelele, kupiga ‘mikwala’ na vitisho, na watu wanapomwogopa, hupata nafasi ya kuwakandamiza hadi pale inapotokea bahati watu hao wakamshtukia kwamba hana nguvu anazodai anazo. Hata hivyo, ule woga kwa mtu huyo utaendelea kuwepo kwa watu wengi.

View attachment 2414670

Kwa miaka mingi mwanaume aligundua kwamba, ni dhaifu mbele ya mwanamke na katika juhudi za kufidia pengo hili alipitiliza mipaka na kujikuta anafanikiwa kumkandamiza mwanamke. Eneo ambalo mwanaume anaweza kusema ni bora kuliko mwanamke labda ni mabavu ya kimwili, ambayo kwa bahati mbaya kwenye zama hizi hayana tena maana, yamepitwa na wakati.

Ukiangalia maeneo mengine yote, mwanamke ndiye bora zaidi. Mwanamke huishi miaka mingi zaidi ya mwanaume (kati ya miaka mitano hadi kumi) na mwanamke huugua au kupata maradhi kidogo zaidi kuliko mwanaume. Wanaume wengi zaidi, kwa kiasi cha mara mbili zaidi hupata matatizo ya kiakili ukilinganisha na wanawake, huku idadi ya wanaume wanaojiuwa ikiwa kubwa zaidi kuliko ile ya wanawake.

View attachment 2414680
Ni kweli, mwanaume anaweza kuringia mabavu yake, lakini huo siyo ubora ambao binadamu anatakiwa kuuringia sasa hivi, kwani unahusu zaidi wanyama kuliko binadamu. Enzi za kuuwa wanyama kwa mawe, mabavu yalikuwa na maana, si leo.

Mwanaume kwa karne kadhaa amejitahidi kutumia mabavu yake kumwonyesha mwanamke kwamba, yeye siyo dhaifu. Kwa bahati mbaya mwanamke naye akadhani ni dhaifu. Yeye kukosa mabavu akadhani ni udhaifu.

Kwa wakati huo ilikuwa ni sahihi kwa sababu binadamu aliishi kama mnyama. Mtu aliyeheshimiwa alikuwa ni yule aliyekuwa na nguvu za kuuwa mnyama kwa jiwe, lakini bila shaka, leo mambo ni tofauti.

View attachment 2414684
Hebu ona, hadi leo mwanaume anaweza kuhatarisha maisha yake au hata kupoteza maisha akijaribu kutafuta njia za kumfanya mwanamke amwone kuwa ni wa maana. Atasema uongo, atajikweza, atajifaragua, akitafuta kukubaliwa na mwanamke.

Huu ni udhaifu mkubwa na unaonyesha ni kwa kiasi gani jinsia hii isivyojiamini. Udhaifu huu na mwingine ndiyo ambao mwanaume amekuwa akitafuta kuuficha ili mwanamke asiuone, ambapo ameamua kumkandamiza kwa mabavu.

Mwanazuoni mmoja wa utambuzi alipata kusema, wale wanaume wote ambao walijitahidi kuifanya dunia hii kuwa mahali penye kupendeza, walikuwa na tabia ambazo ni wanawake zaidi wanaokuwa nazo. Walikuwa na huruma, upendo, unyenyekevu, kusamehe, kusaidia na kujali. Leo hii mwanaume ukitaka kuitwa mwanamke, onyesha huruma, onyesha upendo, onyesha usamehevu. Unaweza kuona ilivyo, kwamba, bila kuonyesha mabavu manaume anahisi kuumbuka.

View attachment 2414686
Kuna wakati tulikuwa tukizungumza na ndugu yangu ambaye alikuwa anatarajia kufunga ndoa. Mmoja kati ya ndugu zangu waliokuwepo alisema, ‘inabidi huyo mchumbako tumuone, kwa upole wako anaweza kukukalia ukimwoa.’ Unaona? Kinachomlinda mwanaume ni kitu kimoja tu, kuwa mbabe na mkali, basi. Hana silaha nyingine na hajawahi kuwa nayo, hivyo akiiachia hii ya mabavu, anajua atakuwa amekwisha.
Aisee duu ,mmhhh dada zangu mkishika hili andiko ya huyu mbeijing mtaumia.
 
Aisee duu ,mmhhh dada zangu mkikishika hili andika ya huyu mbeijing mtaumia.
joseph1989 Ukitambu utu nini huwezi nyanyasa mwanamke na mwanamke hata kunyanyasa wewe mwanaume shida yetu tunaweka mabavu mbele kweli hata kujikuta tunatolewa akili na kudharaulika na kuwa dhaifu mwisho wa siku.
 
Kweli kazi ipo daah kama kuna uwezekano sensa irudiwe.
 
Kweli kazi ipo daah kama kuna uwezekano sensa irudiwe.
Bado nakufundisha tena kwa mfano hai:-

Luka 7:38​

Yule mwanamke akasimama nyuma ya miguu ya Yesu akilia. Akailowanisha miguu yake kwa machozi yake, kisha akaifuta kwa nywele zake, akaibusu na kuimiminia manukato.

Kwani hapa umeelewa nini wewe mwanaume uliemkaidi na dhaifu mbele Yao sasa.
 
Hilo andiko maana yake ni kutubu na upendo wa Mungu kwa wadhambi, Yesu anaonyesha hata mdhambi ana thamani mbele ya Mungu, maana baada ya hapo akamwambia "nenda umesamehewa dhambi zako.......".

Kasome mwanzo pale ndipo misingi ya kiumbaji ilipo weka na ndipo utajua role ya mwanamke na mwanamke.

1.Mwanamke ametoka ubavuni mwa mwanamme.

2.Mwanaume ni kichwa cha familia.

3.Kwenye bustani ya Eden Mungu mwenyewe alisema Mwanaume atamtawala mwanamke.

Au labda hizo points tatu umeelewa tofauti.

Ila daah kazi ipo,hili andiko hata wanawake wanalishangaa.
 
1 Wakorintho 18:20​

18: Mtu asijidanganye mwenyewe; kama mtu akijiona kuwa mwenye hekima miongoni mwenu katika dunia hii, na awe mpumbavu, ili apate kuwa mwenye hekima.
19: Maana hekima ya dunia hii ni upuzi mbele za Mungu. Kwa maana imeandikwa, Yeye ndiye awanasaye wenye hekima katika hila yao.
20: Na tena, Bwana anayafahamu mawazo ya wenye hekima ya kwamba ni ya ubatili.
 
Hata hujihelewi unacho kiandika kwenye mada na hiki havihusiani ,husisome mistari soma biblia nzima.

Mifano ya kwenye biblia na hii maada yako vitu viwili tofauti, unaleta maada ya malaya aliye enda kutubu kwa Yesu na hii maada yako, yaani hujui ulicho kiandika na huna reference kwa hiki ulicho kiandika.

Ila sensa irudiwe tena.......
 
Back
Top Bottom