Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake

Umeandika mno,sijui yamewahi kukuta
 
Pale mwanaume dhaifu anapoona na wengine wote ni dhaifu kama yeye.
wanawake wamepewa vitobo na utamu wa mwanaume, wakikasilika basi Mwanamme hawezi kupata utamu mwisho wasiku inabidi mwanaume na ubabe wake wote akubali kupiga goti.
kiboboso acha hiyo asili yako ya ukaidi mbona hapa Nangu Nyau kamaliza ubishi wewe zunguka zunguka kama kuku aliekatwa kichwa mwisho utatulia tu! Na hapo ndipo unapompa nafasi mwanamke kutambua udhaifu wako!
 
Aisee duu ,mmhhh dada zangu mkishika hili andiko ya huyu mbeijing mtaumia.
 
Aisee duu ,mmhhh dada zangu mkikishika hili andika ya huyu mbeijing mtaumia.
joseph1989 Ukitambu utu nini huwezi nyanyasa mwanamke na mwanamke hata kunyanyasa wewe mwanaume shida yetu tunaweka mabavu mbele kweli hata kujikuta tunatolewa akili na kudharaulika na kuwa dhaifu mwisho wa siku.
 
joseph1989 Ukitambu utu nini huwezi nyanyasa mwanamke na mwanamke hata kunyanyasa wewe mwanaume shida yetu tunaweka mabavu mbele kweli hata kujikuta tunatolewa akili na kudharaulika na kuwa dhaifu mwisho wa siku.
Kweli kazi ipo daah kama kuna uwezekano sensa irudiwe.
 
Kweli kazi ipo daah kama kuna uwezekano sensa irudiwe.
Bado nakufundisha tena kwa mfano hai:-

Luka 7:38​

Yule mwanamke akasimama nyuma ya miguu ya Yesu akilia. Akailowanisha miguu yake kwa machozi yake, kisha akaifuta kwa nywele zake, akaibusu na kuimiminia manukato.

Kwani hapa umeelewa nini wewe mwanaume uliemkaidi na dhaifu mbele Yao sasa.
 
Hilo andiko maana yake ni kutubu na upendo wa Mungu kwa wadhambi, Yesu anaonyesha hata mdhambi ana thamani mbele ya Mungu, maana baada ya hapo akamwambia "nenda umesamehewa dhambi zako.......".

Kasome mwanzo pale ndipo misingi ya kiumbaji ilipo weka na ndipo utajua role ya mwanamke na mwanamke.

1.Mwanamke ametoka ubavuni mwa mwanamme.

2.Mwanaume ni kichwa cha familia.

3.Kwenye bustani ya Eden Mungu mwenyewe alisema Mwanaume atamtawala mwanamke.

Au labda hizo points tatu umeelewa tofauti.

Ila daah kazi ipo,hili andiko hata wanawake wanalishangaa.
 

1 Wakorintho 18:20​

18: Mtu asijidanganye mwenyewe; kama mtu akijiona kuwa mwenye hekima miongoni mwenu katika dunia hii, na awe mpumbavu, ili apate kuwa mwenye hekima.
19: Maana hekima ya dunia hii ni upuzi mbele za Mungu. Kwa maana imeandikwa, Yeye ndiye awanasaye wenye hekima katika hila yao.
20: Na tena, Bwana anayafahamu mawazo ya wenye hekima ya kwamba ni ya ubatili.
 
Hata hujihelewi unacho kiandika kwenye mada na hiki havihusiani ,husisome mistari soma biblia nzima.

Mifano ya kwenye biblia na hii maada yako vitu viwili tofauti, unaleta maada ya malaya aliye enda kutubu kwa Yesu na hii maada yako, yaani hujui ulicho kiandika na huna reference kwa hiki ulicho kiandika.

Ila sensa irudiwe tena.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…