Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake

Na kwanza siowi ntaendelea kupiga nyeto na bia mpaka mwisho. Amen
Njoo ufanyiwe Maombi,
Huu ndio ushauri wangu kwako ndugu yangu we
Njoo uombewee
Njoo ufanyiwe maombezi
Njoo uombewe
Njoo ufanyiwe maombi kaka,
Wengi wameombewa,
Njoo ufanyiwe maombi
Kwa jina la Yesu kristo.

Nenda kamsilize vizuri ndugu @BonifasMwaitege hii nyimbo alimaliza kila kitu.
 
Sawa
 
Wanaume wa wapi? Hii iko general sana
 
Wanaume wanazidi kupungua kwa kasi ya 5G,ukiona mwanaume anaanza kusemea wanawake ujue rinda limeshaondoka
 
Wanaume wanazidi kupungua kwa kasi ya 5G,ukiona mwanaume anaanza kusemea wanawake ujue rinda limeshaondoka
Mnyiramba ukosefu wa afya ya akili upo na ni kweli na mpo wengi unaonyesha hizo dalili licha ya kupambwa na mavazi ya kidunia pitia hii notes then reply ulichojifunza
 
Ww ni tahira kabisa unauelewa wa sisimizi.....narudia tena mitoto ambayo haijapata malezi ya baba ni janga kwa kizazi hiki na kijacho!!!
Per-diem hakika Kwa haya uzungumzayo nidhahiri unamataizo kwenye mfumo wako wa kutafakari na kuelewa kwani inaonyesha uhifadhi na utunzaji wa hadhi ya mwanamke na mwanaume ambao aliumbwa kwa mfano wa Mungu na ni mawakili wawajibikaji juu ya uumbaji wa Mungu, haki ya kijinsia huonyeshwa kupitia usawa na uwiano wa uongozi katika uhusiano kati ya wanaume na wanawake na uondoaji wa taasisi, na mifumo ya kiutamaduni na ubinafsi inayoleta manufaa na uonevu unaoendekeza ubaguzi.
 
Ushirika umeitwa kuishi na kufanya kazi na Kristo kusemea unyanyasaji na uonevu na kutengeneza ukweli unaobadilisha jamii yenye maisha mazuri na uhusiano wa haki ya kijinsia inayolea na kuongoza ushamiri wa wanadamu.
Kuwa katika ushirika humaanisha kushirikiana katika safari ya kiroho, kulelewa na injili ya neema ya Mungu na kupokea na kuishi ndani ya ubatizo na kushiriki pamoja katika ushirika mtakatifu wa Mungu na kwa kila mmoja. Kuwa katika Kristo humaanisha ingawa tofauti zetu zinabaki, zinamaana tofauti zetu ni vipawa hakuna aliye bora kuliko mwenzake.

Tofauti hazipelekei kupotea kwa usawa.
Mtazamo wa jinsia ni kuhusiana na kuchangamana na makundi mengine ya kijamii. Mtazamo wa mgawanyiko kudhani kwamba vipengele fulani vya utambulisho ni vyanzo vya ubaguzi vinavyohusiana na kila mmoja: vipengele hivyo kama vile jinsia, jamii, vikundi, umri, ulemavu, na madaraja vinahusiana katika ngazi ya mtu binafsi na ya taasisi. Kuna mifumo ya
kutowiana: hii huhitaji kuchambuliwa tofauti ingawa zimeungamanishwa katika ncha ya ukandamizaji. Zana zingine pia ni msaada katika kusemea ukweli wa uonevu kulingana na kabila, madaraja na umri, na viko katika kuchangamana na mambo ya kijinsia ambavyo taasisi inaweza ikachukua hatua zitakazopelekea mabadiliko.
 
Mfano ni samia, ona hotuba zake za vichambo. Ndo useme eti mwanamke blah blah gani sijui.

Hizi 50/50 zinawadanganya sana aisee. Kuna pahala umeandika wagonjwa wengi ni wanaume, mkuu upo serious kweli??

Wanaouza madawa wengi wateja wao ni wanawake, hao ndo hupata magonjwa sana ya matumbo kwasababu ya hali zao.
Hata mahospitalini wagonjwa wengi ni wanawake pia. Fuatilia hili tena.

Rate ya vifo kwa miaka ya karibuni zinaribiana tu mkuu. Huenda umetumia takwimu za kitambo.

Hata wanawake wanajua kua wako chini ya mwanaume na wanahitaji kuongozwa. Na ndivyo nature inavyotaka.
Wanaobishana na nature huishia kua mashoga na wasagaji.
 
Wewe ndiyo hujiamini mbele ya wanawake.
 
Kama Maria sarungi ama shangazi ama tulia dk
 
mwanaume ambae dhaifu mbel ya mwanamke kwanza huyo sio mwanaume ni mvulana

pili, ana akili kwa maana dini zimesema ishini na wanawake kwa akili sasa mpaka umekuwa dhaifu kwake maana yake hauna akili .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…