Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Interesting, mkishazoeana tu ule moto wa mawasiliano full time unakata. Baada ya hapo mwanamke anakua mpweke kihisia mpaka anaweza kupata mchepuko ambaye ana time ya kutosha for her.
Wakizoeana tena na huyo mchepuko, upweke tena na anakua kama yatima upya...circle inaenda hvohvo....mchepuko kasalitiwa😂😂 mapenzi ni somo gumu wazee nyieee weee🤭
 
Kumbe nawewe huwa unazama deep😁
 
What
the party is over when cake is eaten! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Tabuyote ya nn😃😃ila hasira bhana
 
Kabla hatujakupata hua tunajifanya wajinga sana tutapiga simu muda wote dekeza sana, sms za hapa na pale hata ukirespond kwa mapozi sawa tuu cha muhimu mission iwe accomplished, ukishachanua mapaja baasi tunarelax sasa wewe ndio uanze kuteseka sasa kutuma sms za malalamiko😁😁
 
Unajifanya kuchangamka eeeh!!
 
Mhhh, endelea kumfanya mwanamime kuwa ATM yako. Utashangaa mpaka ushangae. Kwani kaka yako huyo?
 
Hata SGR watu wanaikimbilia sana lakn baada ya muda utasikia wanasema wamemiss kupita Gairo, Dumila na Chalinze so wanataka mabasi
 
Mission ikiwa imekamilika uhangaike nini sasa lengo lishatimia kukuweka kwenye himaya ni zamu yako sasa kumuhudumia mume hiyo sio kwa binadamu hata kwa wanyama jogoo anakuwekea mchele ukila anakukula kisha anakua busy
 
Kuku ni wako. Manati ya nini?
 
Umejibu vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…