Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Tukishajihakikishia ushindi huwa hatuna mambo ya kushambulia tena tunapak bus tu
 
Mapenzi ni siku 90 , mwanaume anakua keshakuchoka, utabaki unabebwa na tabia yako, ukianza usumbufu na tabia mbovu unaachwa, mwanaume anaweza kukaa na wewe hata mwaka kumbe alishakuacha kitambo na replacement ilishafanyika muda, ukiendelea na usumbufu imekula kwako, ukitulia inaachwa replacement anarudi kwako, mwanaume ni kiumbe hakipendi kelele Wala kuvurugwa akili hata kidogo mkiielewa hii code mtadumu sana kwenye mahusiano
 
Kila jambo na wakati wake.

Uchumba Si NDOA, alihangaika kukupata, akakuweka Kwa himaya yake lazima a relax, mume kutotuma msg mara Kwa mara kwenye NDOA au akiwa job, Si Ishara kuwa hakupendi, ni mazingira yamebadilika ila Upendo uko pale pale.
 
Men are hunters by nature..!!

Huo muda wanahamishia chimbo jingine kufanya campaign, huwa wanadai hawataki tactics zao za kutongoza zipungue makali, hivyo wanazifanyia mazoezi..!!😂😂
Umenichekesha sana "Kare".. enzi hizo nikiwa Tosa boys hiz tulikua tunafanya sana pale iringa girls na ifunda girls.. usije uka lose confidence
 
Namna napenda drama mpaka hapa si tayari nimeshafeli kabisa..??🤭
 
usitupende kabisa wewe tuchune tuu hela zetu hapo ndio tutaendelea kukupa attention
 
Huwa tunawapenda sana sema unakuta hatuna kingine (especially hizo mbwembwe unazotaka) cha zaidi maana vyote tumefanya, kwahiyo kinachotufanya tuendelee kuwa pamoja inakuwa ni chemistry na characters zetu tu, na hapo ndipo wanaume tunaamua kufukuzia dream goal zetu badala ya kuendekeza mbwembwe za kimapenzi ambazo hazitasaidia for more years to come.

Jiulize mwanaume na mwanamke waliokaa pamoja let's say miaka 2, kuna chochote kipya ambacho mtakuwa hamjafanya.? Mnakuwa mshajuana kuanzia aina ya utani, style za mapenzi zote, reactions juu ya issues mbalimbali....kwahiyo kila kitu anachofanya mwanaume kinaonekana ordinary tu.
 
Duu swali zuri na fikirishi nitajaribu kubadilishana uzoefu , hata sisi huwa tunapenda sana lakini wanawake siku hizi mnatongozwa sana zamani ilikuwa inasadikika kwamba msichana, (mwanamke), alikuwa ana egemea upande mmoja kwa muda wa mwaka mmoja akiona mwaume haieleweki ndiyo ana hama lkn siku hizi duu mko busy na business mna hama hama sana tukinusa harufu ya panya tunazindika na kuwa mapozi nami mapozi nawee
 
Ww unafanya hayo kwake au mbaka afanye kwako tu ndio upendo uonekane?
Twende taratbu.. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…