Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.
Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe anakunywa bia mbili tu.
Alipoona kelele zimekua nyingi best alichukua kitenge akafunga lemba kichwani akielekea kwa mjumbe kumshtaki mume wake.
Pombe sio chai, kunywa kwa uwangalifu.