Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

Wewe mwanamke ni mswahili sana, nimecheka sana kwa hiyo bi mdada akaamua liwalo na liwe akamwaga mboga kabisa 😀😀
 
Wanawake wengi (22+) ni wanafata mkumbo, wanalewa sana usiku (club) risky risky... Watt wadogo wazuri ila wanajiharibu na alcohol

Binafsi sitakuja kuoa mwanamke mlevi wa staili hiyo kamwe..
Pia tuchunguze sana watu wa kuoa, sas mwanamke wa hivyo mpk afike 27 si tyr kaoza
 
Kuna vijana bana ukifika bar utawakuta Wana bia mojamoja tu ya kuzugia ,wanavizia mzoga wa mtu(mke wa mtu) ukikata network kidogo tu anamnyakua Kama Tai...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
asilimia 70 ya wanawake ninaowajua ni wanywaji na wameolewa.

Point ni wasiwe walevi, mwanamke anakunywa mavitu magumu Hennessy, JD, Black Label anashinda Bar huyo hapana aisee.

Kama anakunywa Wine, Savanah mbili tatu sidhani kama ni vibaya.

Tunaishi mara moja tu jamani mbona nyie mnakunywa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dont judge.

Savanna zinavua kyupi sana na wine inalegeza miguu inapanuka panuka tu tena mpaka 180°

Kila mmoja na kinywaji anachoweza kumudu.

Kulewa sio kudinywa. Kudinywa ni tabia za mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kudinywa. Woiiiiii
 
Wanaume hawapendi Wanawake wanaokunywa Pombe kwasababu wanajua madhara ya Pombe pale mtu anapolewa, Wanaume wanaokunywa Pombe pia wanatakiwa kuwa makini maana wakishalewa lolote baya linaweza kuwapata.
 
Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.

Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe anakunywa bia mbili tu.

Alipoona kelele zimekua nyingi best alichukua kitenge akafunga lemba kichwani akielekea kwa mjumbe kumshtaki mume wake.

Pombe sio chai, kunywa kwa uwangalifu.
Nilishashuhudia mwanamke aliyelewa, tena mtu mzima, amegongwa na vijana kadhaa, wakamwagia mishahawa ile kwenye vuzi, enzi hizo jamaa alipofungua mlango wa nyuma wa gari nilistuka mno. na mama hata hajielewi. jamaa kampeleka kwake. nilishashuhudia wanawake pombe ikipanda kichwani anapigwa madole wazi wazi na haoni noma. mwanamke anayekunywa pombe hata kama halewi, nilishaapaga sitamtaka kabisa awe mke.
 
Mtaani kwetu kuna mmama mtu mzima hua anashindana na vijana kunywa pombe kali, akishalewa sasa ni fedheha kwenda mbele.
Ajabu akiwa hajanywa hua ni mstaarabu kwelikweli.
 
Tusitetee Ulevi kwa mtoto wa kike haipendezi, kunywa kwa kiasi ila sio kuwa cha pombe.

Mwisho wa siku kila mtu na maisha yake.
Tusiwapangie vinywaji.

Kila mtu anywe anachomudu sio kuaibisha jinsia yetu kisa unaogopa utaonekanaje mfano ukigonga whisky.
 
Wanawake wanaolewa watamu jamani acheni tuu....yaani akishapiga dompo, savannah au deaparado na ukamlisha menu ya maana hiyo show yake ni balaaa...yaani unakuta sasa ananza kukutamkia hadi sexual fantasy zake wee ni kutekeleza tuu
 
Mwanamke mlezi ni kivutio cha watalii, atatafunwa tu kiholela, tena liwe tipwa tipwa ndio balaa kabisa, pombe zikimwingia anawahi chooni kupunguza maji , mengi kabla hayajaingia ndandani anaanza maandalizi ya kusaula , lahaula1!!!! Mpaja huo , sisis tulikuwa tunakunja tu grand malta yetu ...macho hayana pazia.....maweee li skin tight dah!!!

Aakirudi sasa akili na mada inahama.....shemeji!!!! du brother anafaidi!!!! ongeza kinywaji shemeji!!!! wanavyopenda sifa sasa awe msomi,,,,, dakika mbili sio nyingi mara amemsindikiza shemeji ya ke choooni.......😛😛😛 jamaa lipo nyumbani lanamsubiri mke .... hana la kusema mke ana kipato kuliko bwana🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.

Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe anakunywa bia mbili tu.

Alipoona kelele zimekua nyingi best alichukua kitenge akafunga lemba kichwani akielekea kwa mjumbe kumshtaki mume wake.

Pombe sio chai, kunywa kwa uwangalifu.
Mwanamke akishalewa hajui kubana mzigo, yeye ni kutoa tu
 
Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.

Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe anakunywa bia mbili tu.

Alipoona kelele zimekua nyingi best alichukua kitenge akafunga lemba kichwani akielekea kwa mjumbe kumshtaki mume wake.

Pombe sio chai, kunywa kwa uwangalifu.
Sijui sababu ni nini,ila anywee nyumbani tu kwa kweli...
 
Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.

Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe anakunywa bia mbili tu.

Alipoona kelele zimekua nyingi best alichukua kitenge akafunga lemba kichwani akielekea kwa mjumbe kumshtaki mume wake.

Pombe sio chai, kunywa kwa uwangalifu.

Mwanamke apaswi kunywa, mimi sioi kabisa, na kama wataka kuongea wigo wako wa ndoa, achana na pombe
 
Wanawake wanaolewa watamu jamani acheni tuu....yaani akishapiga dompo, savannah au deaparado na ukamlisha menu ya maana hiyo show yake ni balaaa...yaani unakuta sasa ananza kukutamkia hadi sexual fantasy zake wee ni kutekeleza tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kuwa na manzi mlevi kuniliko, anajua pombe kila aina….. nilitangaza kustaafu kunywa ili nipate kumkemea naye aache sababu nilionekana mwanafunzi wa vidudu kabisa.

Demu mlevi ni mtamu mno kwa kutafuna, ila heshima kama ni mke hapana.
 
Back
Top Bottom