Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

Binafsi Nina UHAFIDHINA (CONSERVATIVE). Naamini mwanamke anahitaji staha kuliko mwanaume, pombe ni chanzo cha kukosa staha.
 
Ngojeni niwaaambie siri....... sasa asilimia 87 ya wanawake wote ni walevi balaaa!!......tena km hupendi pombe hutamjua!!.... bora me ujifanye na wewe unakunywa kunywa daaaa!! demu wako utamjua faster tu! kuwa ni cha pombe!!

Wananywea saloon!!! ....... wantongozewa saloon!!
 
Ngojeni niwaaambie siri....... sasa asilimia 87 ya wanawake wote ni walevi balaaa!!......tena km hupendi pombe hutamjua!!.... bora me ujifanye na wewe unakunywa kunywa daaaa!! demu wako utamjua faster tu! kuwa ni cha pombe!!

wananywea saloon!!! ....... wantongozewa saloon!!
Okay asante kwa kuvujisha paper
 
Ngojeni niwaaambie siri....... sasa asilimia 87 ya wanawake wote ni walevi balaaa!!......tena km hupendi pombe hutamjua!!.... bora me ujifanye na wewe unakunywa kunywa daaaa!! demu wako utamjua faster tu! kuwa ni cha pombe!!

wananywea saloon!!! ....... wantongozewa saloon!!
Utakua unaishi kwenye mazingira magumu sana aisee
 
Kwa jinsi ninavyowala kimasihara hapa Kona bar karibu na gheto alafu niowe mwanamke mlevi hapana kwa kwel
 
Kuoa Mwanamke Mlevi ni sawa na kumuwekea Dhamana Mmasai Mahakamani
 
Back
Top Bottom