[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wakinywa pombe nyingi, mlango wa chini ufunguka kirahisi
Sasa kosa nn? Mwenzio kasema ukweli, ko kumbe mnapenda kudanganywa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi nimepokea msg kutoka kwa mpango wa kando ananiambia hivi, “nina hamu ya kunywa pombe sana lakini sio nyumbani” . Hii ni Turn Off kubwa niliyowahi kuipokea. Mtu anashindwa hata kujisitiri kwa kutumia maneno ya ulaghai, “baby naomba unitoe out?”
Demu kama huyu kweli?
Akili nyingine bana.Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.
Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe anakunywa bia mbili tu.
Alipoona kelele zimekua nyingi best alichukua kitenge akafunga lemba kichwani akielekea kwa mjumbe kumshtaki mume wake.
Pombe sio chai, kunywa kwa uwangalifu.
Bado naendelea kupata maoni ya wachambuziHapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.
Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe anakunywa bia mbili tu.
Alipoona kelele zimekua nyingi best alichukua kitenge akafunga lemba kichwani akielekea kwa mjumbe kumshtaki mume wake.
Pombe sio chai, kunywa kwa uwangalifu.
Kwa sababu nilishawaambia, hata kama wewe Mwanaume ni chapombe, usioe Mwanamke mnywaji.
Natamani nikununulie wine au savannah...tunafanyaje?asilimia 70 ya wanawake ninaowajua ni wanywaji na wameolewa.
Point ni wasiwe walevi, mwanamke anakunywa mavitu magumu Hennessy, JD, Black Label anashinda Bar huyo hapana aisee.
Kama anakunywa Wine, Savanah mbili tatu sidhani kama ni vibaya.
Tunaishi mara moja tu jamani mbona nyie mnakunywa