Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

Mwanamke anae kunywa pombe Kuliwa ni anytime tena wengi wakiamka asubuhi ndo wanashituka hata marinda hawana sasa mwanaume gani anataka kutake risk ka hiyo
Uache kuwala wanawake wakishalewa wewe.
 
Dont judge.

Savanna zinavua kyupi sana na wine inalegeza miguu inapanuka panuka tu tena mpaka 180°

Kila mmoja na kinywaji anachoweza kumudu.

Kulewa sio kudinywa. Kudinywa ni tabia za mtu.
 
Yeah kama mtu sio mgawaji hata anapo enda kulewa sehemu anakua na backup ili arudi salama
Sema mwanamke akienda bar anachukuliwa tofauti[emoji48], wengine wanaenda kwa starehe zao binafsi
Kweli eti?
 

Pombe zinauzwa wapi? Bar! Huko kuna kila aina ya watu! Baada ya pombe kulimbilia huko downstairs nini kitafuata? Akianzisha ugomvi nani atamuokoa huyo mke? Yote kwa yote kua na mwenza wa Ke mlevi ni MTIHANI!
 
Hamuwezi kuwa mafahari wawili nyumbani, yaani nikanywe na mke akanywe nani atamfungulia mwenzake mlango au kumpikia mwenzake na la mwisho wanawake wengi ambao wanakunywa pombe ni rahisi kupigwa mashine huko nje
 
Dont judge.

Savanna zinavua kyupi sana na wine inalegeza miguu inapanuka panuka tu tena mpaka 180°

Kila mmoja na kinywaji anachoweza kumudu.

Kulewa sio kudinywa. Kudinywa ni tabia za mtu.


Tusitetee Ulevi kwa mtoto wa kike haipendezi, kunywa kwa kiasi ila sio kuwa cha pombe.

Mwisho wa siku kila mtu na maisha yake.
 
Mkilewa mkiwa baa huwa mnapigwa madole kirahisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…