Wanaume ni viumbe adimu tuliobakia na tupo njiani kutoweka katika hii Dunia

A8BA3761-B4A0-4F0A-B5F1-933D88D9F5DB.jpeg
 
Mkuu angalia basi hata mechi ya Yanga kama kina Arsenal huwawezi
Mwanaume gani wewe huonekani hata jukwaa la sports kule?? Kutwa uko MMU dadeqq
Nina miaka karibu 10 sijawahi kuangalia wala kufuatilia mpira, sijawahi kucheza mchezo wowote wa kubahatisha (betting)

Nikiona wanaume wanaangalia mpira huwa nashangaa wamepata vipi huo muda?
 
Ni kweli kuna mtu nafahamiana naye ,alienda nchi ya Thailand akakaa wiki kadhaa kwa shughuli fulani.

Amerudi last week ,katika kupiga stori..akanisimulia aliyoyaona huko
ni kama hii mada uliyoianzisha hapa..

Pepo ama Roho ya ushoga imewakamata wanaume na kuamua kujigeuza wanawake ,imepelekea UHABA wa wanaume halisi..

Imepelekea hata kuona watoto wachanga ni adimu ,wanawake wapo wanaotaka kuolewa ila ndio hakuna wanaume wa kuwaoa

wanataka kuzaa ila lakini hakuna wanaume wa kuwapa ujauzito.

nikambishia mpaka akaanza kunionyesha picha...na sio kwamba kusema nchi ni masikini ni nji inayojiweza kiuchumi..
Yani ni kama fasheni wanaume kukimbilia kuwa mashoga utandawazi .

Mpango wa shetani ni kuifanya dunia nzima kuwa wanawake..yani kufuta wanaume duniani ,ndio mana unaona women empowerment..gender equality ..na kufuta kizazi ..kupunguza idadi kuzaliana..depopulation..family planning methods..

na HAKI SAWA ..haki za usawa human rights haki za mashoga na malezi...lengo lake nyuma ya pazia ni agenda za kuifanya ..DEPOPULATION..kupunguza uzazi..na kuondoa nafasi ya mwanaume...wote wawe wanawake...na huu mfumo wa ELIMU sayansi n.k elimu ya dunia ,pesa ,utandawazi...VYOTE ni kuiandaa DUNIA KUTAWALIWA...ni nyezo za KUITAWALA DUNIA kwa kuanza kubadilisha AKILI ZA WATU kuanzia kwenye MIND SET..KIROHO NA HATIMAYE KIMWILI...NEW WORLD ORDER...chapa ya mnyama ..666

haya yalisha andikwa kwenye maandiko matakatifu..

Isa 4:1 SUV
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA
inawezekana ikawa mwaka huu 2026 au 2027 kabla ya mwaka 2030 watakatifu wote walioko duniani watanyakuliwa kwenda mbinguni...

halafu utawala wa mpinga KRISTO .CHAPA YA MNYAMA..666..NEW WORLD ORDER.
 
Baba mtumishi unaelewa hii tafsiri ya isaya 4:1 Iceberg9
 
Back
Top Bottom