Hii ni adhabu muheshimiwa!Faida ya shooo, kutwa mara tatu![]()
Kwahiyo ufunuo wa makanisa saba hauhusiki hapa?Ma mchungaji nimechelewa kuona hili 😂,unajua hapo ma mchungaji tafsiri yake ipo clear tu , ndiyo utambue tangu zamani mwanamke kutokuolewa ilikua ni aibu kubwa sana na ndiyo maana unaona kwenye andiko hilo kuwa wanaweka wengi walimtaka mwanaume mmoja ili kuondoa aibu ya kutokua na mwanaume ,hii inaenda mpaka leo umri ukiwa mkubwa mwanamke asipolewa anakua ameiletea familia yake aibu,ndiyo maana utasikia wazazi wa kileo wakisema wanangu wamebarikiwa wote wameolewa🤣
Muda ukifika utaifurahia tuHii ni adhabu muheshimiwa!
uliza tena mama mchungaji unaongelea ufunuo upi mama mchungaji😅,Kwahiyo ufunuo wa makanisa saba hauhusiki hapa?
Hmm hapana!!Muda ukifika utaifurahia tu
Makanisa saba ya Asia 😬uliza tena mama mchungaji unaongelea ufunuo upi mama mchungaji😅,
ukitoka hapa uje utubu kwa ba mchungaji😹Kuna huyu Sipendi Kuombwa Hela mrembo mwingine hapa anawashwa uke jaribu kumcheki mkuu, kutwa kuvizia comment za wanaume sijui buza hawapo😆 maninerrr
Siku ya ufufuko wa bwana, nataka nikusogeze ndaniHmm hapana!!
Ulikuwa wapi mwezi mtukufu mwanzoni?Siku ya ufufuko wa bwana, nataka nikusogeze ndani
Baba mtumishi kuna watu wanapandisha sukari humu acha tu🥲ukitoka hapa uje utubu kwa ba mchungaji😹
sijafuatilia sana ma mchungaji , ila inasemekana ufunuo wa hayo makanisa saba yatakua hiviMakanisa saba ya Asia 😬
umejua kunichekesha 🤣🤣Baba mtumishi kuna watu wanapandisha sukari humu acha tu🥲
Ilimradi utoke kwenye reli tu uaibike😒umejua kunichekesha 🤣🤣
umeongea ukweli mkuu, wanatumia vibrator wanainjoi no stress, walikua wanaopata pesa kwa mwanaume kwa mateso sana mpaka wapige style zote ndiyo wapewe,wacha watafute pesa na sisi tutafute pesa,wenye kumcha Mungu ndoa zao zitadumu,all in all tumekuja duniani kufurahi maishaHamna Cha kutoweka, labda kutoweka kuhonga, maana tulipo na tunapoelekea wanaume na wanawake wote tutakuwa na pesa hakutakuwa na wa kumhonga mwenzake maana wote tutakuwa nazo.
Na ndo kilichopo Sasa hivi wanawake wengi Wana kazi nzuri na wanamiliki pesa hawataki kuolewa Wala kumilikiwa wanaishia kuzaa na kurizika na kuwa singo Maza sababu ya kiburi cha kumiliki pesa.
Ukitaka kuhakikisha hili nenda ofisi au taasisi kubwa kubwa za serikali au mashirika binafsi wengi sana ni wanawake kuanzia mabos ni wa kike
na wote ukichunguza hawana waume ila wamezaa ni singo Maza hawana haja ya kuhongwa Wala kuolewa sababu ya kiburi ya kazi nzuri na pesa.
🤣🤣Ilimradi utoke kwenye reli tu uaibike😒
Sifa kuu ya kanisa la Philadelphia sio uvumilivu. Sio wao tu waliovumilia, hata Efeso, Smurna, Pergamumu, Thuatira wamesifiwa kuvumilia.(6) Filadelfia (Ufunuo 3: 7-13) — kanisa ambalo lilikuwa la uvumilivu (3:10).
Hio vibrator imekaajeumeongea ukweli mkuu, wanatumia vibrator wanainjoi no stress, walikua wanaopata pesa kwa mwanaume kwa mateso sana mpaka wapige style zote ndiyo wapewe,wacha watafute pesa na sisi tutafute pesa,wenye kumcha Mungu ndoa zao zitadumu,all in all tumekuja duniani kufurahi maisha
ni gari toleo jipyaHio vibrator imekaaje
umelezea vizuri sanaSifa kuu ya kanisa la Philadelphia sio uvumilivu. Sio wao tu waliovumilia, hata Efeso, Smurna, Pergamumu, Thuatira wamesifiwa kuvumilia.
Sifa kuu ya Philadelphia:
Ndio kanisa pekee ambalo halijapewa kasoro yoyote, YESU analisifia mwanzo mwisho!
Ndio kanisa pekee ambalo YESU ameliahidi kulilinda wakati wa Dhiki kuu inayokuja kuikumba dunia.
"Kwa kuwa umeshika amri yangu ya kuvumilia katika saburi, nitakulinda katika saa ya kujaribiwa inayokuja ulimwenguni pote, ili kuwajaribu wote wanaoishi duniani."
Ufunuo.3.10.NENO
Swali linabaki je wewe ni sehemu ya kanisa la Philadelphia?
Au itabidi upitie moto, utakaswe wakati wa Dhiki kuu?
"Yeye aliye na sikio na asikie.
“Ikiwa mtu ni wa kuchukuliwa mateka, atachukuliwa mateka. Ikiwa mtu ni wa kuuawa kwa upanga, atauawa kwa upanga.” Hapa ndipo penye wito wa subira na imani ya watakatifu."
Ufunuo.13.9-10.NENO2025
"kazi yake itaonekana ilivyo, kwa kuwa Siku ile itaidhihirisha. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu.
Kama kile alichojenga kitabaki, atapokea thawabu yake.
Kama kitateketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini tu kama mtu aliyenusurika kwenye moto. 1Wakorintho3.11-15.NENO2025