Wanaume ni viumbe adimu tuliobakia na tupo njiani kutoweka katika hii Dunia

Wanaume ni viumbe adimu tuliobakia na tupo njiani kutoweka katika hii Dunia

Honestly picha niliyonayo kwa jinsia ya kiume isiyoangalia kabisa mpira sio nzuri
Mimi mwanaume na sipendi mpira.
Kiasi kwamba hata ukiniambia nikupangie position za wachezaji kulingana na namba zao na majukumu yao sijui.
 
Back
Top Bottom