Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Hamna Cha kutoweka, labda kutoweka kuhonga, maana tulipo na tunapoelekea wanaume na wanawake wote tutakuwa na pesa hakutakuwa na wa kumhonga mwenzake maana wote tutakuwa nazo.Warembo wote wa humu na wa huko duniani, mtutumie vizuri; tunakaribia kutoweka duniani. Yangu ni hayo tu.
Na ndo kilichopo Sasa hivi wanawake wengi Wana kazi nzuri na wanamiliki pesa hawataki kuolewa Wala kumilikiwa wanaishia kuzaa na kurizika na kuwa singo Maza sababu ya kiburi cha kumiliki pesa.
Ukitaka kuhakikisha hili nenda ofisi au taasisi kubwa kubwa za serikali au mashirika binafsi wengi sana ni wanawake kuanzia mabos ni wa kike
na wote ukichunguza hawana waume ila wamezaa ni singo Maza hawana haja ya kuhongwa Wala kuolewa sababu ya kiburi ya kazi nzuri na pesa.
