Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Hamna Cha kutoweka, labda kutoweka kuhonga, maana tulipo na tunapoelekea wanaume na wanawake wote tutakuwa na pesa hakutakuwa na wa kumhonga mwenzake maana wote tutakuwa nazo.Warembo wote wa humu na wa huko duniani, mtutumie vizuri; tunakaribia kutoweka duniani. Yangu ni hayo tu.
Kwanini wanazaa na waume za watu, na kama wanaume tuko wengi kwa nini wasizae na vijana ambao hawajaoa?Hamna Cha kutoweka, labda kutoweka kuhonga, maana tulipo na tunapoelekea wanaume na wanawake wote tutakuwa na pesa hakutakuwa na wa kumhonga mwenzake maana wote tutakuwa nazo.
Na ndo kilichopo Sasa hivi wanawake wengi Wana kazi nzuri na wanamiliki pesa hawataki kuolewa Wala kumilikiwa wanaishia kuzaa na kurizika na kuwa singo Maza sababu ya kiburi cha kumiliki pesa.
Ukitaka kuhakikisha hili nenda ofisi au taasisi kubwa kubwa za serikali au mashirika binafsi wengi sana ni wanawake kuanzia mabos ni wa kike
na wote ukichunguza hawana waume ila wamezaa ni singo Maza hawana haja ya kuhongwa Wala kuolewa sababu ya kiburi ya kazi nzuri na pesa.
1 Corinthians 15:52Baba mtumishi unaelewa hii tafsiri ya isaya 4:1 Iceberg9
Well… hiyo Isaya 4:1, kwa tafsiri ninayoijua mimi ni ya makanisa 7 and not as in men as u interpreted hapo mwanzo! U ever heard of Makanisa ya Asia?1 Corinthians 15:52
King James Version
52 In a moment, in the twinkling of an eye, at the last trump: for the trumpet shall sound, and the dead shall be raised incorruptible, and we shall be changed.
at the last trump--- ukiacha tafsiri ya trum kama tarumbeta
last trump=second term ya uongo i last term ya precidency ya president Donald TRUMP
kabla ya raisi Donald trump aliwa katika last term ya uongozi utawala wake...ndio unyakuo utatokea.
TAFSIRI ZIKO NYINGI SANA katika neno moja kuna tafsiri zaidi ya moja..na unatakiwa uongozwe na ROHO ili akufundishe kuzi unlock codes zote..
hiyo ni sawa lakini lakini zipo tafsiri zaidi ya moja..kadiri Roho atakavyokuongoza na ulivyofundishwa sitaki kuongilia ..Well… hiyo Isaya 4:1, kwa tafsiri ninayoijua mimi ni ya makanisa 7 and not as in men as u interpreted hapo mwanzo! U ever heard of Makanisa ya Asia?
Hivi kuolewa ni dili kubwa kiasi hiki mpk biblia imaanishe hivi? Kwamba itafika wakati wanaume hawatokuwepo wakuitwa wame kiasi cha kutaka kuolewa na yoyote?? Hii ni zaidi ya settling for less..Mtu akiolewa anapata faida gani hasa? Mkuu sielewi hapa..hiyo ni sawa lakini lakini zipo tafsiri zaidi ya moja..kadiri Roho atakavyokuongoza na ulivyofundishwa sitaki kuongilia ..
ila huko mbeleni nakuhalikishia hata hapa AFRIKA idadi ya wanaume watapungua ...katika maana ya kimwili kibiadamu PIA ...na wanawake watakuwa wanawatafuta wanaume wa kuwaoa kwa TOCHI...na watakuwa tayari kuolewa wake wenza...mana waowaji watakuwa wachache..huko tunakoendaa...hata 7 kumfuata mwanamume mmoja itatokea pia/kimwili /kibinadamu pia .
1. Sina mudaOooh good for you
Ni kwanini uliacha kufuatilia? Ni kwasababu huna muda sio 🙄
[emoji1][emoji1]Mkuu angalia basi hata mechi ya Yanga kama kina Arsenal huwawezi
Mwanaume gani wewe huonekani hata jukwaa la sports kule?? Kutwa uko MMU dadeqq
Hakuna binadamu mwenye akili ndogo na dharau kama mwanamke,Kwanini wanazaa na waume za watu, na kama wanaume tuko wengi kwa nini wasizae na vijana ambao hawajaoa?
Hivi kuolewa ni dili kubwa kiasi hiki mpk biblia imaanishe hivi? Kwamba itafika wakati wanaume hawatokuwepo wakuitwa wame kiasi cha kutaka kuolewa na yoyote?? Hii ni zaidi ya settling for less..Mtu akiolewa anapata faida gani hasa? Mkuu sielewi hapa..
Safi sanaMwanaume ni biashara na si mpira.
Uliisoma story ya ponera wa Zanzibar Equation xWarembo wote wa humu na wa huko duniani, mtutumie vizuri; tunakaribia kutoweka duniani. Yangu ni hayo tu.
Sijaisoma hiyo mkuu, inazungumzia nini?Uliisoma story ya ponera wa Zanzibar Equation x
Ma mchungaji nimechelewa kuona hili 😂,unajua hapo ma mchungaji tafsiri yake ipo clear tu , ndiyo utambue tangu zamani mwanamke kutokuolewa ilikua ni aibu kubwa sana na ndiyo maana unaona kwenye andiko hilo kuwa wanaweka wengi walimtaka mwanaume mmoja ili kuondoa aibu ya kutokua na mwanaume ,hii inaenda mpaka leo umri ukiwa mkubwa mwanamke asipolewa anakua ameiletea familia yake aibu,ndiyo maana utasikia wazazi wa kileo wakisema wanangu wamebarikiwa wote wameolewa🤣Baba mtumishi unaelewa hii tafsiri ya isaya 4:1 Iceberg9
Ma mchungaji nimechelewa kuona hili 😂,unajua hapo ma mchungaji tafsiri yake ipo clear tu , ndiyo utambue tangu zamani mwanamke kutokuolewa ilikua ni aibu kubwa sana na ndiyo maana unaona kwenye andiko hilo kuwa wanaweka wengi walimtaka mwanaume mmoja ili kuondoa aibu ya kutokua na mwanaume ,hii inaenda mpaka leo umri ukiwa mkubwa mwanamke asipolewa anakua ameiletea familia yake aibu,ndiyo maana utasikia wazazi wa kileo wakisema wanangu wamebarikiwa wote wameolewa🤣Baba mtumishi unaelewa hii tafsiri ya isaya 4:1 Iceberg9
Pablo alichukua hizo kipindi binti yake anasikia baridi na hakuna kuni akaziwasha moto maburungutu kibao akatia kiberiti ziwe km kuni ili binti yake apate baridi,
Faida ya shooo, kutwa mara tatuHivi kuolewa ni dili kubwa kiasi hiki mpk biblia imaanishe hivi? Kwamba itafika wakati wanaume hawatokuwepo wakuitwa wame kiasi cha kutaka kuolewa na yoyote?? Hii ni zaidi ya settling for less..Mtu akiolewa anapata faida gani hasa? Mkuu sielewi hapa..