Wanaume ni viumbe adimu tuliobakia na tupo njiani kutoweka katika hii Dunia

Kwahiyo ufunuo wa makanisa saba hauhusiki hapa?
 
Makanisa saba ya Asia 😬
sijafuatilia sana ma mchungaji , ila inasemekana ufunuo wa hayo makanisa saba yatakua hivi
1) Efeso (Ufunuo 2: 1-7) — kanisa lililoacha upendo wake wa kwanza (2: 4).
(2) Smurna (Ufunuo 2: 8-11) — kanisa ambalo litapitia mateso (2:10)
(3) Pergamumu (Ufunuo 2: 12-17) — kanisa ambalo lilihitaji kutubu (2:16).
(4) Thuatira (Ufunuo 2: 18-29) — kanisa lililokuwa na nabii wa uongo (2:20).
(5) Sarde (Ufunuo 3: 1-6) — kanisa lililokuwa limelala (3: 2).
(6) Filadelfia (Ufunuo 3: 7-13) — kanisa ambalo lilikuwa la uvumilivu (3:10).
(7) Laodikea (Ufunuo 3: 14-22) — kanisa lenye imani si baridi wala si moto (3:16)
 
umeongea ukweli mkuu, wanatumia vibrator wanainjoi no stress, walikua wanaopata pesa kwa mwanaume kwa mateso sana mpaka wapige style zote ndiyo wapewe,wacha watafute pesa na sisi tutafute pesa,wenye kumcha Mungu ndoa zao zitadumu,all in all tumekuja duniani kufurahi maisha
 
(6) Filadelfia (Ufunuo 3: 7-13) — kanisa ambalo lilikuwa la uvumilivu (3:10).
Sifa kuu ya kanisa la Philadelphia sio uvumilivu. Sio wao tu waliovumilia, hata Efeso, Smurna, Pergamumu, Thuatira wamesifiwa kuvumilia.

Sifa kuu ya Philadelphia:

Ndio kanisa pekee ambalo halijapewa kasoro yoyote, YESU analisifia mwanzo mwisho!

Ndio kanisa pekee ambalo YESU ameliahidi kulilinda wakati wa Dhiki kuu inayokuja kuikumba dunia.

"Kwa kuwa umeshika amri yangu ya kuvumilia katika saburi, nitakulinda katika saa ya kujaribiwa inayokuja ulimwenguni pote, ili kuwajaribu wote wanaoishi duniani."
Ufunuo.3.10.NENO

Swali linabaki je wewe ni sehemu ya kanisa la Philadelphia?

Au itabidi upitie moto, utakaswe wakati wa Dhiki kuu?

"Yeye aliye na sikio na asikie.
“Ikiwa mtu ni wa kuchukuliwa mateka, atachukuliwa mateka. Ikiwa mtu ni wa kuuawa kwa upanga, atauawa kwa upanga.” Hapa ndipo penye wito wa subira na imani ya watakatifu."

Ufunuo.13.9-10.NENO2025


"kazi yake itaonekana ilivyo, kwa kuwa Siku ile itaidhihirisha. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu.

Kama kile alichojenga kitabaki, atapokea thawabu yake.

Kama kitateketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini tu kama mtu aliyenusurika kwenye moto.
1Wakorintho3.11-15.NENO2025
 
Hio vibrator imekaaje
 
umelezea vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…