Fabian Vitus JF-Expert Member Joined Jul 18, 2022 Posts 6,347 Reaction score 8,254 Mar 2, 2026 #61 Equation x said: Miaka ijayo tutakuwa hatupo Click to expand... Kama tutakua hatupo watakua na kizazi kipya ambacho wewe unatakiwa ukiandae kwa weledi mkubwa
Equation x said: Miaka ijayo tutakuwa hatupo Click to expand... Kama tutakua hatupo watakua na kizazi kipya ambacho wewe unatakiwa ukiandae kwa weledi mkubwa
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Mar 3, 2026 Thread starter #62 Seran said: Ulikuwa wapi mwezi mtukufu mwanzoni? Click to expand... roho wa bwana alikuwa hajanipa kibali
Seran said: Ulikuwa wapi mwezi mtukufu mwanzoni? Click to expand... roho wa bwana alikuwa hajanipa kibali
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Mar 3, 2026 Thread starter #63 Fabian Vitus said: Kama tutakua hatupo watakua na kizazi kipya ambacho wewe unatakiwa ukiandae kwa weledi mkubwa Click to expand... Ni kweli kabisa, ndio maana tunapambana kuleta uzao
Fabian Vitus said: Kama tutakua hatupo watakua na kizazi kipya ambacho wewe unatakiwa ukiandae kwa weledi mkubwa Click to expand... Ni kweli kabisa, ndio maana tunapambana kuleta uzao
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Mar 3, 2026 #64 Joanah said: Honestly picha niliyonayo kwa jinsia ya kiume isiyoangalia kabisa mpira sio nzuri Click to expand... Mimi mwanaume na sipendi mpira. Kiasi kwamba hata ukiniambia nikupangie position za wachezaji kulingana na namba zao na majukumu yao sijui.
Joanah said: Honestly picha niliyonayo kwa jinsia ya kiume isiyoangalia kabisa mpira sio nzuri Click to expand... Mimi mwanaume na sipendi mpira. Kiasi kwamba hata ukiniambia nikupangie position za wachezaji kulingana na namba zao na majukumu yao sijui.