Wanaume ni wa ovyo sana

Wanaume ni wa ovyo sana

Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.

Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.

Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.

Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.

Nikagundua friendlist kati ya 4552 alionao FB wanaume ni 20 tu, hivo hivo kwenye Instagram, amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile.

Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba, na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.

Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.

Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi ya Botswana kulingana na chating zao.

Nikataka niende WhatsApp, mikono ikatetemeka nikaacha.

Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni, ukimuuliza mbona bize sana, anakujibu biashara, mara betting, kumbe michepuko!

Sina hamu.
Huo ndio uanaume. Mwanamme aliyekamilika hawezi kaa na mwanamke mmoja. Hiyo ndiyo asili yetu.
 
Asant mamy
Usikae kiboya boya mwari wangu, ndoa bila unafiki haziendi....ukijifanya Una real love sasa hivi tutakusindikiza India Moyo umetanuka.
Usisikie wamama WA zamani walikuwa wanadumu kwenye ndoa, sio Kama hayo yalikuwa hayapo, walikuwa wanajua kubalance🤣🤣🤣 mmama ana kimchepuko cha kudumu kijijini kwao, akienda kusalimia kwao anampa yooote....akirudi Kwa mumewe heshima na magoti juu.....maisha bila unafiki utapata maradhi sugu.
 
Hupati unachotaka hapo nyumbani?

Kuna siku umelala njaaa?

Amewahi kutongoza au kufanya hayo mbele ya macho yako?

Kuna shida gani nyingine ambayo hasa wewe imekusibu mpka uone hayo uloyaona n magumu?

Ukipewa Nafasi Uchague, Uwe mmoja kati ya hao side chick Kisha Mmoja kati ya hao side chick awe ndio Maza house kama ulivyo wewe, Utachagua kipi?

Sikia mama, hebu andaa thread ya mume halipi ada hatoi hela ya matumizi lakini umegundua ana wanawake FB,whatsapp anawatumia hela, Hapo nitaelewa Uzi wako.

ila haya malalamiko hapa,hujayaanza wewe Hata Mke wangu nae analalamika kama wewe...
 
Jiangalie vizuri kwa kiwango cha darunini ya wataalam wa kuangalia nyota. Bila shaka kuna eneo hutimizi wajibu wako Ipasavyo. Pengine u feminism umekuzidi au una lugha chafu. Maeneo ya kujichunguza ni mengi. Re examine yourself critically
No way.... Mwanamume anayetembea na wanawake 15.... Huwezi kuleta justification ya aina hii.... Acheni kutetea ujinga.
 
Wanawake mnasababisha wenyewe haya mambo ,unakuta mtu unataka shoo mke unakuja na visingizio vingi,mara nimecheka ,sababu Kila siku,na unafahamu fika mumeo ni rijaal unategemea Nini,mfano mimi nimeamua kumcheat mke wangu Kwa ujinga wake
 
Weee, usije kumtia mwenzio petroli, Kwanza futa machizi, nenda bafuni kaoge, osha hadi nywele....paka lotion mwili mzima, paka make up usoni, jitazame kwenye kioo how beautiful you are!
Shika simu yako, ingia DM....mjibu msg yake Yule jamaa anayekusumbuaga....just flirt with him, mpe nafasi akusifie nafsi isuuzike.....Kama Una pesa omba ruhusa jitoe out.

Ukimaliza uje unisimulie🤣
Mtombewaj* anaenda kutomb*
Dunia ngumu hii.

Aliyekupiga ngumi ya jino mpige ya sikio.

#YNWA
 
Najua baadhi ya wanaume watamtetea mwenzao, na iwe chai ama ukhalisia ila ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap, some men are just for every woman, yaani standard ni kitu hawajawahi kuwa nacho kabisa..!!

you guys, can't you save your energy and time for sth better and worth for..??
"Ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap"🤣🤣
 
Back
Top Bottom