myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
š¤£Ndivyo tulivyo"UMBWA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£Ndivyo tulivyo"UMBWA"
Halafu hao wanakuwa na pisi kali, halafu ndio hivyo tena..Sasa ungekuta yeye ndo anapakuliwa na wanaume wenzake si ndo ungekufa
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Fuata ushauri wake tukusahau,huwezi kusuluhisha tatizo kwa kuharibu zaidi,tutakupoteza.Asant mamy
Huo ndio uanaume. Mwanamme aliyekamilika hawezi kaa na mwanamke mmoja. Hiyo ndiyo asili yetu.Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha smart.
Nilikuwa nimekua kiakili kwamba sitashika simu ya mwanaume hata iweje na sijui ni shetani gani kanishawishi nikaishika.
Nikaenda Messenger ya FB nikakutana na chat zaidi ya 200 ya wanawake, wengine akiwatongoza, wengine "Mambo mrembo wangu" pande zipi? Hizi ndio text kwa kila mwanamke kwa kila mwanzoni mwa chating.
Nikagundua friendlist kati ya 4552 alionao FB wanaume ni 20 tu, hivo hivo kwenye Instagram, amewafollow wanawake kuliko wanaume na inbox huko sms zile zile.
Na cha ajabu ni kwamba katika kufuatilia kila wakichati na hao wanawake anawaomba namba za Whatsapp au anawatumia namba, na nilichogundua kupitia mitandao ya kijamii anatembea na wanawake zaidi ya 15 wawili wapo wilaya ya jirani, wanawake zaidi ya 2000 wanaitana my.
Wanawake 57 wanalalamika kuwa alitembea nao mara moja au mbili na kuachana nao bila sababu.
Anatembea au alitembea na wanawake wawili kutoka nchi ya Botswana kulingana na chating zao.
Nikataka niende WhatsApp, mikono ikatetemeka nikaacha.
Loh! Unamuona mwanaume yupo bize mtandaoni, ukimuuliza mbona bize sana, anakujibu biashara, mara betting, kumbe michepuko!
Sina hamu.
Usikae kiboya boya mwari wangu, ndoa bila unafiki haziendi....ukijifanya Una real love sasa hivi tutakusindikiza India Moyo umetanuka.Asant mamy
[emoji1787][emoji1787]Hii ndio dawa ya watu wambeya kama wewe
Mimi mwenyewe ninamke wanguCha msingi njoo inbox tulipe kisasi
Mimi mwenyewe ninamke wangu
No way.... Mwanamume anayetembea na wanawake 15.... Huwezi kuleta justification ya aina hii.... Acheni kutetea ujinga.Jiangalie vizuri kwa kiwango cha darunini ya wataalam wa kuangalia nyota. Bila shaka kuna eneo hutimizi wajibu wako Ipasavyo. Pengine u feminism umekuzidi au una lugha chafu. Maeneo ya kujichunguza ni mengi. Re examine yourself critically
Mtombewaj* anaenda kutomb*Weee, usije kumtia mwenzio petroli, Kwanza futa machizi, nenda bafuni kaoge, osha hadi nywele....paka lotion mwili mzima, paka make up usoni, jitazame kwenye kioo how beautiful you are!
Shika simu yako, ingia DM....mjibu msg yake Yule jamaa anayekusumbuaga....just flirt with him, mpe nafasi akusifie nafsi isuuzike.....Kama Una pesa omba ruhusa jitoe out.
Ukimaliza uje unisimulieš¤£
"Ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap"š¤£š¤£Najua baadhi ya wanaume watamtetea mwenzao, na iwe chai ama ukhalisia ila ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao ni very cheap, some men are just for every woman, yaani standard ni kitu hawajawahi kuwa nacho kabisa..!!
you guys, can't you save your energy and time for sth better and worth for..??