Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.
Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima
On top of that kuna mahusi gals na mahausi boyz wanaweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.
Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?
Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Kikubwa,ni stability ya malezi ya watoto(inaweza isiwepo vile vile),unarudi hm wanaakuona,sasa ukiwa na madem watatu,wote umezaa nao,na kila mmoja anaishi kama single mother,watoto wanakuonaje?wanaletwa gheto kwako,unakutana nao stend?
Kama Mond,watoto aliozaa na Zari,mobeto,na Yule sis wa Kenya,akitaka kuwaona anawafsta huko kwa single ladies hao(maana hao wadada wana maisha yao na wapenzi wapya),au analetewa nyumbani kwake,anakaa nao,house girl anapika,Kwisha!!
So kuwa na mke,unatengeneza nyumba,makazi yanayokutambulisha,inaleta heshima,kwamba huyu ni baba Fulani kwake pale,na ile ndio familia yake(hata kama mke ni kimeo).
It's Afrikan necessity,jamii inakutegemea hivyo,Ila vile vile Cha. Muhimu sana ni watoto,hata kama ulizaa na madem lakini huishi nao,kikubwa huwa wanakuja kwako kukaa jspo kidogo,hii huleta sense of ownership,something to live for,kama Mond,kila muda watoto wanaletwa kwake akae nao kidogo,lakini Hana mke,!!ukialikwa sehemu unaendaje?una beba lolote?
Tofauti sio kubwa sana,ni swala la kijamii sana,aliyeoa,mwenye mke,anaonekana wa maana sana,kuliko msela(Tena kama huna pesa,ndio kabisa)