- Thread starter
- #201
How? Fungukahaya maisha ya usela mavi yatawagharimu huko mbeleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How? Fungukahaya maisha ya usela mavi yatawagharimu huko mbeleni.
How tena? Yaani unaleta na vingereza.How? Funguka
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.
Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima
On top of that kuna mahusi gals na mahausi boyz wanaweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.
Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?
Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Mhuni hata umwimbie hatokuelewa!Kampani, uroda, heshima, stutus, malezi ya watoto, familia, utulivu wa mwili na akili, mlezi
Ndo kuoa huko.Kwani muhuni hawezi kuishi na demu akaoata hizo automatic
Tatizo ni akili za wanandoa.Hapa tuwe wakweli. Huu ubora unapimwa kwa standards zipi? Hakuna mateja, mashoga na makahaba yaliyotoka kwenye ndoa?
Jana nilikua nimekaa sebuleni na watoto pamoja na mama yaoo,, wenyewe wanakaa mji mwingine na ninao kaa mimi sababu ya kikazi.. Sebuleni palikua pazuri sana yaani ile feeling tu ya kuona we are together as a family cant be explained kwa kweli.... labda kama kuna migogoro ndio ndoa inakua chungu lkn kama mna amani raha ya ndoa huwezi ifananisha na chochote..
Una kichwa kigumu hatari. Huyo mtoto utamwona wapi? Utacheza naye wapi? Utahamia kwa mama mtoto? Au wewe ndo wale wanaume wa kulelewa?Tumesema unaweza kuzaa hata bila ndoa na bado ukamuona mwanao. Hoja yako haina nguvu
Hawana hela.Mwanaume anavyokua in age ndivyo uitaji wa kuwa na Mwanamke unaongezeka.
Ukiwa na hela hakuna linaloshindikana. Unamuona Diamond Platinum anavyowalea watoto wake? Wengine wanatoka South Africa, wengine Uganda, na wengine hapa hapa bongo lkn bado anacheza nao.Una kichwa kigumu hatari. Huyo mtoto utamwona wapi? Utacheza naye wapi? Utahamia kwa mama mtoto? Au wewe ndo wale wanaume wa kulelewa?
Tunaposema kucheza na mtoto, haimaanishi kumtembelea kwa mamake. Tunamaanisha uko naye kwako, unamwona ukiwa kwako. Ukitoka kazini unapata muda wa kuchezaa na mtoto kisha mamake.
Natamani uelewe, ukimpata mwanamke mwema, maisha hata yawe magumu, utanenepa mwili na akili.
Ndoa ni zaidi ya hayo uliyo yataja. Hayo ukiyotaja ni minor sana kwenye ndoaPengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.
Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima
On top of that kuna mahusi gals na mahausi boyz wanaweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.
Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?
Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Umeconclude vizuri sana. Any tom dick and harry anaweza mwagia ndani ila ubaba ni kutoa hela tuu basi.Ukiwa na hela hakuna linaloshindikana. Unamuona Diamond Platinum anavyowalea watoto wake? Wengine wanatoka South Africa, wengine Uganda, na wengine hapa hapa bongo lkn bado anacheza nao.
Mwanaume ukiwa huna hela unazuiwa hata kuwaona watoto.
N.B; Ubaba siyo kutoa mbegu kutia mimba,, bali ubaba ni kutoa hela kwenye malezi
Ndiyo tunatamani kuyajua hayo. Tunaomba ututajie tuyajueNdoa ni zaidi ya hayo uliyo yataja. Hayo ukiyotaja ni minor sana kwenye ndoa
Tunaporudi kwenye origin ya ndoa. Unakuta ndoa ni swala la kiroho zaidi na ni la kimajukumu zaidi ( utelekezaji wa jukumu - purpose - vision - assignment ) ambalo Mungu anakuwa ameliachia ndani ya mtu, na utelekezaji wake unahitaji partneship ( male and female ). Ukirudi nyuma Mtu alifanywa siku moja from Mtu kukawa na Adam na Eva- Manifestation ikaanza ya Adam, then Mungu akaona mambo hayaendi sawia katika utelekezaji wa mandate ya Adam kwasababu kuna part ambayo haikuwa ime manifest ambayo ni Eva. Ukiangalia mandate iliyokuwepo haipo katika hizo ulizotaja wewe. But kama ndoa uta iweka kwenye fungu la mwilini upo sahihiNdiyo tunatamani kuyajua hayo. Tunaomba ututajie tuyajue
Usichanganye lugha, chagua lugha moja uandike vizuri, eleza sababu kuntu za kuoa. Yaani kuna ulazima wa kuoa?Tunaporudi kwenye origin ya ndoa. Unakuta ndoa ni swala la kiroho zaidi na ni la kimajukumu zaidi ( utelekezaji wa jukumu - purpose - vision - assignment ) ambalo Mungu anakuwa ameliachia ndani ya mtu, na utelekezaji wake unahitaji partneship ( male and female ). Ukirudi nyuma Mtu alifanywa siku moja from Mtu kukawa na Adam na Eva- Manifestation ikaanza ya Adam, then Mungu akaona mambo hayaendi sawia katika utelekezaji wa mandate ya Adam kwasababu kuna part ambayo haikuwa ime manifest ambayo ni Eva. Ukiangalia mandate iliyokuwepo haipo katika hizo ulizotaja wewe. But kama ndoa uta iweka kwenye fungu la mwilini upo sahihi
Hujataka kuelewaUsichanganye lugha, chagua lugha moja uandike vizuri, eleza sababu kuntu za kuoa. Yaani kuna ulazima wa kuoa?
Basi ndo hivo! msio kuwa na Baba Mna dhalilisha ke walio wazaa! ile maku yake ilitoa wamb km wewe! ambako kange banwa tu kakafa! hustahili kuishi mdharau ulipotoka weye!SINGLE MOTHER ambaye anatamani ndoa lakini hakubarikiwa kuipata au ni MSIMBE ALIYEACHIKA na hivyo ana kisirani na maisha ya ndoa.