KABLA YA KUTAJA SIFA KIBAO ZA NDOA,FAIDA ZA NDOA
1. KUPATA MSAADA KUTOKA KWA MKE WAKO/MUME WAKO PINDI UNAPOPATWA NA MAGONJWA MAKUBWA NA MAZITO YA MWILI WOTE KWA UJUMLA HUSUSANI SEHEMU ZA SIRI.
-Hapa ieleweke kuwa kama ni mwanaume na ikatokea umepatwa na magonjwa mazito na makubwa kama tezi dume,
Ujafika mwisho bado,Ombea mfike mwisho wote.So kweli,mm nimeoa mtu wa hivo now niko nafunga 10 years kwenye ndoa
Pesa bila ndoa hakuna kitu hapo.Ngoja tuwasubiri umefanya vyema kuweka baadhi ya hoja ambazo wangekuja nazo
Naongezea Wengine watesema kuwa na heshima katika jamii .. heshima pesa [emoji3] kila mtu atakusujudia kuwa kapuku na ndoa yako uone
Kikubwa,ni stability ya malezi ya watoto(inaweza isiwepo vile vile),unarudi hm wanaakuona,sasa ukiwa na madem watatu,wote umezaa nao,na kila mmoja anaishi kama single mother,watoto wanakuonaje?wanaletwa gheto kwako,unakutana nao stend?Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.
Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima
On top of that kuna mahusi gals na mahausi boyz wanaweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.
Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?
Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Sijakuelewa, imani ni zilezile na vitabu vya dini ni vilevile havibadiliki karne na karne, Sheria za ndoa za kidini ni zile zile rnzi na enzi. Kwanini unasema ndoa za sasa hazijakusudiwa na Mwenyezi Mungukabla ya kuta
KABLA YA KUTAJA SIFA KIBAO ZA NDOA,
SWALI JE NDOA HIZI ZA SASA NDIZO ALIZOKUSUDIA MWENYEZI MUNGU?
Kweli mkuu! Yaani uache kwenda burudika na rafiki zako kwenye moja mbili moto na kitit moto juu eti nikae sebureniiiii naota moto na kuanagalia vifaranga mwee!Au una kaumaskini ka kipato mkuu? Yaani unapata raha kwa kukaa sebuleni??
Kwendeni zenu huko bodaboda wajinga sana mnataka vya bwereree yaani mie nioe wewe ufaidi tako la mke wangu eti akushike hivi!! wkt unaendesha mjipikipiki wako huo mbovu???!mwanaume ambaye hajaoa na umri ushavuka miaka 30 anaonekana shoga, mwoga wa majukumu, mpuuzi na mshamba mshamba.
Maweee wewe oa lkn ukishajenga na watoto wamemaliza chuo kikuuu unakufwaaaa mazimaaa!! ........ukiona vitoto vyako vinakua zako zinahesabika tu...make hamkawiagi kuwaolea mke mwingine!Pesa bila ndoa hakuna kitu hapo.
Mkuu endelea kupata faida tu!!.......Lkn IKO siku isiyo kuwa na tarehee hao ng'ombe wataibiwa..... Somalia kuna njaa!.....km ukipata faida weeeee! na wao wanaitaka .....Kuna dili zinapatikana ukweni,
Kama hujaoa ile familia huwez kuzipata.
1. Kuna hekar 35 nmepewa na wakwe zangu uko mkoani, nalima mpunga kila mwaka.
2. Nanunuaga ndama wadogo napeleka ukweni, wananifugia bure. Sahv nna ngombe wengi Kias uko mkoani.
Nikihitaji pesa,
Ni Simu Moja tu ng'ombe au mpunga unakobolewa unauzwa chap napata pesa nafanya mambo yangu.
Yaani muzee leo unmeongea ukweli mutupu sijui umiamukia wapi vile??..Mungu aliposema ishini na sisi kwa akili alimaanisha sana!!! ila kulijua hili kazi kweli kweli.........Kwa mwanaume ndoa ni Mzigo tuu hasa ndoa za siku hizi zisizofuata maadili.
Bila mfumo Dume Mimi naona Ndoa haina maana yoyote zaidi ya mwanaume kujitafutia masumbuko yasiyo na ulazima.
Hallelujah [emoji126]Jana nilikua nimekaa sebuleni na watoto pamoja na mama yaoo,, wenyewe wanakaa mji mwingine na ninao kaa mimi sababu ya kikazi.. Sebuleni palikua pazuri sana yaani ile feeling tu ya kuona we are together as a family cant be explained kwa kweli.... labda kama kuna migogoro ndio ndoa inakua chungu lkn kama mna amani raha ya ndoa huwezi ifananisha na chochote..
Ukiona mtu anatoa hoja za hovyo hivyo ujue ama ni SINGLE MOTHER ambaye anatamani ndoa lakini hakubarikiwa kuipata au ni MSIMBE ALIYEACHIKA na hivyo ana kisirani na maisha ya ndoa.Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.
Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima
On top of that kuna mahusi gals na mahausi boyz wanaweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.
Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?
Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Hoja hujibiwa kwa hoja. Kumpiga mawe mtoa hoja ni ukosefu wa hojaUkiona mtu anatoa hoja za hovyo hivyo ujue ama ni SINGLE MOTHER ambaye anatamani ndoa lakini hakubarikiwa kuipata au ni MSIMBE ALIYEACHIKA na hivyo ana kisirani na maisha ya ndoa.
Acha hoja za kijinga, waache wenye nia ya kuingia katika ndoa waingie kwa raha zao kuliko kuanza kupandikiza hofu ili waikose kama wewe!!!
Unachosha!!
Ukiwa na hela unaweza jiita Mungu wapo watakao kuaminiOndoa neno jusujudiwa. Anaesujudiwa ni Allah tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]Mkuu ningekuwa na namba yako ningekurushia hela ya supu. Majibu safi Sana haya. Nitayatumia huku mtaani kuwaelimisha wanaonipa kadi zao ili waoe