Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

KILA mtu ana interest zake za kuoa na hazifanani na mwingine. Wapo uoa kwa lengo la kupata
1.watoto
2.Faraja mtu wa kumliwaza wakati
3.Kushiriki tendo
4.Mlinzi wa nyumba na mali zake
5.Msukumo wa familia, ndugu,kazi au kabila
6.nk
Kwahiyo wasioyataka yoote hayo wako sahihi kuishi single?
 
Point[emoji106]
 
1. Nilichoka kupigwa,
Nilihitaji cheap labour
MKE wangu simlipi mshahara

2. Nilihitaji family,
Anizalie watoto wengi
Nipate cheap labour zaidi (wanangu)

3. Nilihitaji heshima na kuaminika,
Bachelor Kuna deal na fursa nilizikosa Kwasababu TU sijaoa (siaminiki)

4. Nilimpata mwanamke niliempenda
Na nilijihakikishia ananipenda Zaid ya nnavompenda
 
Dawa ya matatizo yako yooote haya ilikuwa kutafuta hela. Hela ingekupa vyote hivyo
 
Tena inafaa kupigwa marufuku, inajenga na kukuza uubinafsi ktk jamii. Yaani unamuona mwanaume au mwanamke eti inakuwa haramu kumtafuna kwasabb kaoa ama kaolewa na mtu Fulani. Kwann isiwe free kwa kila mtu kwa utashi wake??
Mtazaliana kama ng'ombe kwa staili hyo na ndugu wanaoshea damu moja kulana.

Nadhan madhara ya ndugu wenye vinasaba vinavyofanana kuzaliana inajulikana.
 
Kwani Kuna tofauti gani kati ya kuendesha gari la kuazima na la kwako mwenyewe, hakuna kinachoongezeka?

au kuishi katika nyumba ya kupanga na nyumba yako mwenyewe. Think utapata majibu.
 
Mtazaliana kama ng'ombe kwa staili hyo na ndugu wanaoshea damu moja kulana.

Nadhan madhara ya ndugu wenye vinasaba vinavyofanana kuzaliana inajulikana.
Tuhskikishe tunatoa majina ya ukoo kwa kila mtoto
 
Hahahaha yaani msiotaka kuoa mtafuta visingizio Kila siku wewe kama haujisikii kuoa Kaa hivyo hivyo usitafute sababu, nirudi kwenye hoja yako sasa.

Kuwa na ndoa ni kuliishi kusudi la Mungu hapa duniani katika kuendeleza uumbaji pamoja na ufalme wa Mungu duniani, hizo sababu za kupika sijui kufua na mengine ni added advantage tu. Wewe mwenyewe unajua huo utelezi nje ya ndoa ni uzinzi kinyume na sheria za Mungu, na katika mazingira yaliyopo Kwa asilimia kubwa ukizaa nje ya ndoa jukumu la kumlea huyo mtoto linakuwa chini ya mwanamke hata kama mwanaume atasema anamlea au analipia gharama hata wewe ni shahidi kuwa si Kwa asilimia zote kama yule anayemtunza mtoto akiwa na mama watoto wake. Wewe unayeiangalia ndoa kama sehemu ya kupata huo utelezi pole, ndio Maana umesema utelezi unaupata Kwa Bei rahisi lakini Bado unauliza ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…