Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

The king mswati

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
787
Reaction score
825
Kitu ambacho nimegundua,
mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe.

NB: SIJAZUNGUMZIA KUMILIKI HELA, wewe kuwa tu smart kuwa msafi, vaa vizuri just jijali socialize vizuri acha papara ya maneno, utapendwa sana hata kama huna hela.
 
Kitu ambacho nimegundua, mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa watakuwa wanakutongoza wenyewe.
NB : SIJAZUNGUMZIA KUMILIKI HELA, wewe kuwa tu smart kuwa msafi, vaa vizuri just jijali socialize vizuri acha papara ya maneno, utapendwa sana hata kama huna hela.
Ila ukiwa na pesa utapendwa tuu. Kwasababu pesa hazijifichi. Na hakuna Mwanamke hapendi pesa
 
Ila ukiwa na pesa utapendwa tuu. Kwasababu pesa hazijifichi. Na hakuna Mwanamke hapendi pesa
Mwanamke anapenda mwonekano wa nje kwanza kabla ya hela, ili akupende ukiwa na hela itamchukua muda kidogo kukuchunguza ili aamini kuwa una hela, na akigundua una hela kweli ila hujijali unavaa vaa tu hovyo hujijali basi mara nyingi atakuwa mchunaji tu kwako alafu anaenda kula na mtu anaempenda yeye
 
Kitu ambacho nimegundua,
mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe.

NB: SIJAZUNGUMZIA KUMILIKI HELA, wewe kuwa tu smart kuwa msafi, vaa vizuri just jijali socialize vizuri acha papara ya maneno, utapendwa sana hata kama huna hela.

Only smartness itakufanya ujue Na ujitambue kwamba kulala Na wanawake hovyo Ni Jambo la Kipumbavu Sana'

Ulimbukeni Na ujinga ndo itakufanya utaman kulala Na kila mwanamke anayepita Mbele zako kila siku Na kila wakati!
 
Unaanzaje kufanya yote hayo ili uwavutie wanawake?

Be smart yes for your own good Siyo ili li Mtu la jinsia Ke likuone !
Nukia ili ujisikie fresh wewe mwenyewe, exercise and lift weights ujenge afya YAKO

Mwanaume Soma vitabu vya Philosophy, Psychology, World History, Female ( Woman) Nature,Economics, Religion, War( Suntzu, Robert Green 33 War strategies nk) ili kujiweka fresh kiakili pia!

Mwanaume lazima uwe na afya ya Mwili na Akili maana huu Ndio mtaji wako wa kwanza!

Anyway Mwanamke huvutiwa na Uzuri wa nje wa mwanaume kwanza ( wazee wa superficialities)
Vitu kama urefu na Uzuri wa sura hapo hata kama ni mama mtu mzima atashtuka akimuona kijana wa kiume mzuri kama Yusufu( kumbuka Yusufu alikua kijakazi!)

Important: mwanaume Jijenge kiuchumi, saka noti fanya maendeleo yako hadi siku unaingia kaburini.
 
Tuma salamu kwa wadada watatu..... popote walipo Tanzania.

Merry Christmas Mr Smart
 
Mwanamke anapenda mwonekano wa nje kwanza kabla ya hela, ili akupende ukiwa na hela itamchukua muda kidogo kukuchunguza ili aamini kuwa una hela, na akigundua una hela kweli ila hujijali unavaa vaa tu hovyo hujijali basi mara nyingi atakuwa mchunaji tu kwako alafu anaenda kula na mtu anaempenda yeye
Mara nyingi wenye hela huwa wapo kawaida sio smart Sana au kuwa mabitoz Ila wenye hela wengi sio wachafu. Kutokana na ugumu wa maisha huu I tell jitahidi kutafuta pesa , jitahidi kutafuta pesa na ku-invetst utakuja kunikumbuka tuu. Kama upo smart na huna chochote duniani hapa your worthless , your worthless.
 
Utakuwaje msafi na smart bila hela?..

Kuwa serious wewe..

Najua kuna watu wana hela ila sio smart ila ni ngumu kuwa smart bila hela.
mkuu kuna hela za kukidhi maisha yako tu ya mageton ya kila siku, alafu kuna zile hela zilizozidi kdogo ambazo wanaume wa aina hyo madem huwaita sponsor, so siyo lazima sana uwe hela za u-sponsor ndo uweze kuji-smartisha
 
Back
Top Bottom