Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen ubarikiwe Sana.Kitu ambacho nimegundua,
mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe.
NB: SIJAZUNGUMZIA KUMILIKI HELA, wewe kuwa tu smart kuwa msafi, vaa vizuri just jijali socialize vizuri acha papara ya maneno, utapendwa sana hata kama huna hela.
Ulimwengu tilionao pesa imeharibu real love . Na utandawazi uwepo wa vitu vizuri duniani umechangia Kwa percentage kubwaHapo itakuwa inapendwa pesa sio wewe
Hebu tupatie "mechanism" ya kuwa smart bila kuwa na pesa. Vladmir PutinaKitu ambacho nimegundua,