Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

Daah
Muda huu nipo naelekea kanisani kutafuta msaada wa kiroho niachane na uzinzi
Nyinyi mnapambana kuwavutia wanawake [emoji119]
 
Only smartness itakufanya ujue Na ujitambue kwamba kulala Na wanawake hovyo Ni Jambo la Kipumbavu Sana'

Ulimbukeni Na ujinga ndo itakufanya utaman kulala Na kila mwanamke anayepita Mbele zako kila siku Na kila wakati!
Yaani ni kweli usmart wa kufanya uhuni eti kila mwanamke akupende ndo ujinga mkubwa usmart ni kujipenda na kutokubali kufanya ngono hovyo!
 
Utakuwaje msafi na smart bila hela?..

Kuwa serious wewe..

Najua kuna watu wana hela ila sio smart ila ni ngumu kuwa smart bila hela.
Anaugua huyo labda mtu smart asiye na pesa awe ana azima nguo
 
Kitu ambacho nimegundua,
mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe.

NB: SIJAZUNGUMZIA KUMILIKI HELA, wewe kuwa tu smart kuwa msafi, vaa vizuri just jijali socialize vizuri acha papara ya maneno, utapendwa sana hata kama huna hela.
Ukishawachakata wengi itakusaidia nini ?
 
Bado unakua kijana sasa we wavutie waingie Kisha umpende halafu akuzoee hakuna rangi utaacha kuona! Wewe na smartness yako,pesa zako,akili zako,vipaji vyako mtanyanyaswa hujapata kuona..[emoji23]
Hebu usimtishe mtoto jamani.
 
Mtoa mada sio kwa kizazi hiki my furendi.
Hawa viumbe wa sasa ni wao na noti tu
 
Mwanamke anapenda mwonekano wa nje kwanza kabla ya hela, ili akupende ukiwa na hela itamchukua muda kidogo kukuchunguza ili aamini kuwa una hela, na akigundua una hela kweli ila hujijali unavaa vaa tu hovyo hujijali basi mara nyingi atakuwa mchunaji tu kwako alafu anaenda kula na mtu anaempenda yeye
Wanaume ambao wanavaa vaa hovyo Mzee ndiyo wanaume ambao pesa yao haiendi kizembe. Ndivyo wataalamu wanavyosema.
 
Bado unakua kijana sasa we wavutie waingie Kisha umpende halafu akuzoee hakuna rangi utaacha kuona! Wewe na smartness yako,pesa zako,akili zako,vipaji vyako mtanyanyaswa hujapata kuona..😂
Ila Kenzy 🙄🙄🤣🤣🤣
 
Kitu ambacho nimegundua,
mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe.

NB: SIJAZUNGUMZIA KUMILIKI HELA, wewe kuwa tu smart kuwa msafi, vaa vizuri just jijali socialize vizuri acha papara ya maneno, utapendwa sana hata kama huna hela.
Huu ulioandika hapa una ukweli mtupu lakini hakuna chenye faida kisicho na Hasara kwa Upande wangu kweli nilijipatia madem wengi sana na nikaenjoy lakini nilikuja kupata kisanga hicho baada ya fall kwa binti mmoja ambaye nilimpata kwa mazingira hayo hayo, Dadeki nilikoma baada ya kenyewe kujua nimekapenda mambo kaliyonifanyia nilijuta. Tangu hapo nikaacha huo ujinga kama demu simuelewi namchana Live Kucheza na Hisia za mtu ni kitu kimoja ambacho kinamaumivu makali na yasiyoonekana, Tangu huyo demu alivyocheza na hisia zangu na ndivyo nikaacha kuchezea hsia za mademu wengine cuz uchungu niliujua Live.
 
Back
Top Bottom