The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 825
Ila ukiwa na pesa utapendwa tuu. Kwasababu pesa hazijifichi. Na hakuna Mwanamke hapendi pesaKitu ambacho nimegundua, mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa watakuwa wanakutongoza wenyewe.
NB : SIJAZUNGUMZIA KUMILIKI HELA, wewe kuwa tu smart kuwa msafi, vaa vizuri just jijali socialize vizuri acha papara ya maneno, utapendwa sana hata kama huna hela.
Mwanamke anapenda mwonekano wa nje kwanza kabla ya hela, ili akupende ukiwa na hela itamchukua muda kidogo kukuchunguza ili aamini kuwa una hela, na akigundua una hela kweli ila hujijali unavaa vaa tu hovyo hujijali basi mara nyingi atakuwa mchunaji tu kwako alafu anaenda kula na mtu anaempenda yeyeIla ukiwa na pesa utapendwa tuu. Kwasababu pesa hazijifichi. Na hakuna Mwanamke hapendi pesa
Hakuna marefu yasiyo na ncha hyo inajulikana utazeeka tu kama vile yeye atakavyozeeka piaBado unakua kijana sasa we wavutie waingie Kisha umpende halafu akuzoee hakuna rangi utaacha kuona! Wewe na smartness yako,pesa zako,akili zako,vipaji vyako mtanyanyaswa hujapata kuona..😂
Hapo ndo utajua hiyo smartness unatufundisha betting..😅hakuna marefu yasiyo na ncha hyo inajulikana utazeeka tu kama vile yeye atakavyozeeka pia
Ngoja waje wenyewe wanawake watakujibu majibu sahihiHapo ndo utajua hiyo smartness unatufundisha betting..😅
Watakuja kunifanyia fujo hao..😂ngoja waje wenyewe wanawake watakujibu majibu sahihi
Watakuja kunifanyia fujo hao..😂
Kitu ambacho nimegundua,
mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe.
NB: SIJAZUNGUMZIA KUMILIKI HELA, wewe kuwa tu smart kuwa msafi, vaa vizuri just jijali socialize vizuri acha papara ya maneno, utapendwa sana hata kama huna hela.
Mimi nimeshangaa sana yaani huyu jamaa ndiyo vipaumbele vyake hivi. DaahOnly smartness itakufanya ujue Na ujitambue kwamba kulala Na wanawake hovyo Ni Jambo la Kipumbavu Sana'
Ulimbukeni Na ujinga ndo itakufanya utaman kulala Na kila mwanamke anayepita Mbele zako kila siku Na kila wakati!
Mara nyingi wenye hela huwa wapo kawaida sio smart Sana au kuwa mabitoz Ila wenye hela wengi sio wachafu. Kutokana na ugumu wa maisha huu I tell jitahidi kutafuta pesa , jitahidi kutafuta pesa na ku-invetst utakuja kunikumbuka tuu. Kama upo smart na huna chochote duniani hapa your worthless , your worthless.Mwanamke anapenda mwonekano wa nje kwanza kabla ya hela, ili akupende ukiwa na hela itamchukua muda kidogo kukuchunguza ili aamini kuwa una hela, na akigundua una hela kweli ila hujijali unavaa vaa tu hovyo hujijali basi mara nyingi atakuwa mchunaji tu kwako alafu anaenda kula na mtu anaempenda yeye
your worthless , your worthless...
mkuu kuna hela za kukidhi maisha yako tu ya mageton ya kila siku, alafu kuna zile hela zilizozidi kdogo ambazo wanaume wa aina hyo madem huwaita sponsor, so siyo lazima sana uwe hela za u-sponsor ndo uweze kuji-smartishaUtakuwaje msafi na smart bila hela?..
Kuwa serious wewe..
Najua kuna watu wana hela ila sio smart ila ni ngumu kuwa smart bila hela.