Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

Huna pesa utakuaje smart? Tafuta pesa kila kitu kitaonekana usoni.
 
Muda
 
Yaani wewe bado sana. Ukiwa smart unapendwa na vinuka mkojo vinavyobalehe. Anzia levo za chuo halafu eti uende na pum.bu zako tuu eti kisa ni smart halafu unashindwa kumnunulia savannah, my furendi utazalilika
 
Tafuta pesa mabinti wanataka pochi pochi hawataki longolongo ukiwa na pesa huitaji kutongoza watakufuata wenyewe kwasababu zinanukia
 
inahuzunisha saana, vjana wakike wanapambana kuwavutia wanaume huku vjana wa kiume wakipambana kuwavutia wanawake.

kweli n kizaz cha nyoka, kilichokosa maarifa wala kujitambua.

acha kupoteza nguvu za za ujana kwa mambo ysyo na tija uzeeni na kwa kizaz chako.
 
Ngoja waje wenyewe wanawake watakujibu majibu sahihi
Usiwaulize wanawake kuhusu wanawake kaka, watakupoteza mbaya. Kwanza hawapendi kuulizwa wanachotaka, wanataka mtu afigure out mwenyewe na atekeleze. Ukitaka kujifunza uvuvi unaenda kuuliza samaki au wavuvi wabobefu?

Kaa chini sikiliza maneno ya wanaume wenzio.
 
mkuu kuna hela za kukidhi maisha yako tu ya mageton ya kila siku, alafu kuna zile hela zilizozidi kdogo ambazo wanaume wa aina hyo madem huwaita sponsor, so siyo lazima sana uwe hela za u-sponsor ndo uweze kuji-smartisha
You're right indeed..
 
duuh nalo neno
 
Mimi ni nani nikupinge mtoa mada ilihali hawa wanawake hawaeleweki ni kitu gani wao hutaka.
Kwa kuwa hawaeleweki basi uko sahihi 100%.

Kwa kuwa HAWAELEWEKI basi huu uzi upo sawia
 
Sure mkuu ndio maana kuna jamaa hao juu kasema mwanaume kuwa vizuri kama mtoa mada alivyoainisha LAKINI do it for your own good not otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…