Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

Daah
Muda huu nipo naelekea kanisani kutafuta msaada wa kiroho niachane na uzinzi
Nyinyi mnapambana kuwavutia wanawake [emoji119]
 
Only smartness itakufanya ujue Na ujitambue kwamba kulala Na wanawake hovyo Ni Jambo la Kipumbavu Sana'

Ulimbukeni Na ujinga ndo itakufanya utaman kulala Na kila mwanamke anayepita Mbele zako kila siku Na kila wakati!
Yaani ni kweli usmart wa kufanya uhuni eti kila mwanamke akupende ndo ujinga mkubwa usmart ni kujipenda na kutokubali kufanya ngono hovyo!
 
Utakuwaje msafi na smart bila hela?..

Kuwa serious wewe..

Najua kuna watu wana hela ila sio smart ila ni ngumu kuwa smart bila hela.
Anaugua huyo labda mtu smart asiye na pesa awe ana azima nguo
 
Ukishawachakata wengi itakusaidia nini ?
 
Bado unakua kijana sasa we wavutie waingie Kisha umpende halafu akuzoee hakuna rangi utaacha kuona! Wewe na smartness yako,pesa zako,akili zako,vipaji vyako mtanyanyaswa hujapata kuona..[emoji23]
Hebu usimtishe mtoto jamani.
 
Mtoa mada sio kwa kizazi hiki my furendi.
Hawa viumbe wa sasa ni wao na noti tu
 
Wanaume ambao wanavaa vaa hovyo Mzee ndiyo wanaume ambao pesa yao haiendi kizembe. Ndivyo wataalamu wanavyosema.
 
Bado unakua kijana sasa we wavutie waingie Kisha umpende halafu akuzoee hakuna rangi utaacha kuona! Wewe na smartness yako,pesa zako,akili zako,vipaji vyako mtanyanyaswa hujapata kuona..πŸ˜‚
Ila Kenzy πŸ™„πŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Huu ulioandika hapa una ukweli mtupu lakini hakuna chenye faida kisicho na Hasara kwa Upande wangu kweli nilijipatia madem wengi sana na nikaenjoy lakini nilikuja kupata kisanga hicho baada ya fall kwa binti mmoja ambaye nilimpata kwa mazingira hayo hayo, Dadeki nilikoma baada ya kenyewe kujua nimekapenda mambo kaliyonifanyia nilijuta. Tangu hapo nikaacha huo ujinga kama demu simuelewi namchana Live Kucheza na Hisia za mtu ni kitu kimoja ambacho kinamaumivu makali na yasiyoonekana, Tangu huyo demu alivyocheza na hisia zangu na ndivyo nikaacha kuchezea hsia za mademu wengine cuz uchungu niliujua Live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…