Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

Amen ubarikiwe Sana.
 
Hebu tupatie "mechanism" ya kuwa smart bila kuwa na pesa. Vladmir Putina
 
Naona swala pesa unaliondoa kwenye equation lakini umesahau ili uwe na nguo nzuri zitazokupa muonekano (fueza),vyakula vizuri vitavyojenga mwili kuendana na mazoezi (fueza),na ile amani ya moyo na ku build ka self esteem fueza kwa namna flan inabid i play part kwenye hio equation
Pesa sio kila kitu ila ni muhimu sana kuzitafuta ili kurahisisha mambo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…