cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya.
Let's get Back to our business...
Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana 'malaya' anajua kucheza na saikolojia za wanawake....
Mfano anapohisiwa tu kwamba amechepuka au amemkosea mwenza wake... Pamoja na mwanamke wake kupanic na kuongea maneno Mabaya Sana kumhusu yeye atabaki na utulivu bila panic.... Ataongea kwa sauti tamuuu yenye kupenya vizuri masikioni mwa mwanamke akimuelewesha kwa nini imekuwa hivyo au atakana kabisa kufanya kosa husika. Wakati huo aweza kuwa hata ana mkiss au anafanya namna nyingine ili mradi tu kumfanya mwanamke atulie na kesi iishe Hali itulie. Wanaume wa aina hii huwa Hawana maneno mengi wao kauli zao mara nyingi ni fupi na maneno Yao ni machache.
Hivi ushajiuliza kwa nini ni ngumu Sana kuchomoka kwa wanaume wa aina??hii ndio sababu.
Wanajua nini wafanye wakati gani na kweli mwanamke anageuka mtumwa wa penzi La player.
Wanawake: Ushawahi kujikuta kwenye hiyo Hali?? Kwamba mwanaume ana dalili zote za kuwa mchepukaji lakini kila ukimbananisha anapangua na unajikuta wewe ndio mkosaji?
Kwa kweli wanaume type hii ni hatarii.