Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume mna akili Sana kwa kweli...
Wanaume nyie mbingu hamuionii bila kutubu. Kuna player mmoja baada ya kuzurura Sana kwenye sehem za Siri za wadada na kuwajaza wa kutosha ilibidi atubu na awaombe msamaha...
Kuna muda akili zinawarudia
Wanao fake ndio wanao wapata kirahisi.Wanaume mna akili Sana kwa kweli...
Wanaume nyie mbingu hamuionii bila kutubu. Kuna player mmoja baada ya kuzurura Sana kwenye sehem za Siri za wadada na kuwajaza wa kutosha ilibidi atubu na awaombe msamaha...
Kuna muda akili zinawarudia
Ukiwatikisa kichwa hua wanachangamkaGood boys wamepoa sanaa
ChaiLeo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya.
Let's get Back to our business...
Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana 'malaya' anajua kucheza na saikolojia za wanawake....
Mfano anapohisiwa tu kwamba amechepuka au amemkosea mwenza wake... Pamoja na mwanamke wake kupanic na kuongea maneno Mabaya Sana kumhusu yeye atabaki na utulivu bila panic.... Ataongea kwa sauti tamuuu yenye kupenya vizuri masikioni mwa mwanamke akimuelewesha kwa nini imekuwa hivyo au atakana kabisa kufanya kosa husika. Wakati huo aweza kuwa hata ana mkiss au anafanya namna nyingine ili mradi tu kumfanya mwanamke atulie na kesi iishe Hali itulie. Wanaume wa aina hii huwa Hawana maneno mengi wao kauli zao mara nyingi ni fupi na maneno Yao ni machache.
Hivi ushajiuliza kwa nini ni ngumu Sana kuchomoka kwa wanaume wa aina??hii ndio sababu.
Wanajua nini wafanye wakati gani na kweli mwanamke anageuka mtumwa wa penzi La player.
Wanawake: Ushawahi kujikuta kwenye hiyo Hali?? Kwamba mwanaume ana dalili zote za kuwa mchepukaji lakini kila ukimbananisha anapangua na unajikuta wewe ndio mkosaji?
Kwa kweli wanaume type hii ni hatarii.
Ila baba swaleheEnzi za ujana nlkamatwa na kiss
Aisee nilibisha sana
Namwambia yule sio mimi
Mimi tupo wawili kichwani kuna muda mwenzangu ananizidi nguvu
Ka demu kananiuliza kweli baby?..
Nasema hakyamungu
Kikubwa utelezi na eneo husika alilopoHahaha
Player hachagui shimo
Good boys hawana vibe wanawapeleka church tuHuko ni kutokujitambua unless huyo mwanaume ndio anakuweka mjini
Kwanini uwe na mwanaume mhuni anakuliza kila siku wakati kuna good boys wengi ambao wanajielewa
Hata kwa avatar😂😂😂
Player anatii kiu yake tu
MhhHahaha
Hyo kazi nyingine
Huwa tunapenda take away
Ndio wazuriGood boys hawana vibe wanawapeleka church tu
Kwasasa K cheap zilivyonyingi za kucheba siwezi kujisifia uplayer maana easy labda zamani au mikoaniLeo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya.
Let's get Back to our business...
Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana 'malaya' anajua kucheza na saikolojia za wanawake....
Mfano anapohisiwa tu kwamba amechepuka au amemkosea mwenza wake... Pamoja na mwanamke wake kupanic na kuongea maneno Mabaya Sana kumhusu yeye atabaki na utulivu bila panic.... Ataongea kwa sauti tamuuu yenye kupenya vizuri masikioni mwa mwanamke akimuelewesha kwa nini imekuwa hivyo au atakana kabisa kufanya kosa husika. Wakati huo aweza kuwa hata ana mkiss au anafanya namna nyingine ili mradi tu kumfanya mwanamke atulie na kesi iishe Hali itulie. Wanaume wa aina hii huwa Hawana maneno mengi wao kauli zao mara nyingi ni fupi na maneno Yao ni machache.
Hivi ushajiuliza kwa nini ni ngumu Sana kuchomoka kwa wanaume wa aina??hii ndio sababu.
Wanajua nini wafanye wakati gani na kweli mwanamke anageuka mtumwa wa penzi La player.
Wanawake: Ushawahi kujikuta kwenye hiyo Hali?? Kwamba mwanaume ana dalili zote za kuwa mchepukaji lakini kila ukimbananisha anapangua na unajikuta wewe ndio mkosaji?
Kwa kweli wanaume type hii ni hatarii.
Ukikosa jina lakuita ,tuite kiotaHahaha
Player hachagui shimo