Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mnapendaga goodboys nyie?Huko ni kutokujitambua unless huyo mwanaume ndio anakuweka mjini
Kwanini uwe na mwanaume mhuni anakuliza kila siku wakati kuna good boys wengi ambao wanajielewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapendaga goodboys nyie?Huko ni kutokujitambua unless huyo mwanaume ndio anakuweka mjini
Kwanini uwe na mwanaume mhuni anakuliza kila siku wakati kuna good boys wengi ambao wanajielewa
Me napenda sanaMnapendaga goodboys nyie?
Karibu mamii🙏Me napenda sana
Asante sana kakaKaribu mamii🙏
Sisi wapole na tunaomtafuta yesu kwa bidii huwa tunaonekana washamba 😭Asante sana kaka
Kwahiyo nibaki hivi hivi kumbe bado mpo?Me napenda sana
Kweli kabisa jamanSijui hata ni nini kwa kweli
Ila roho wa Mungu atuongoze kufanya maamuzi sahihi
Naona unajipalilia uonekane good boyKwahiyo nibaki hivi hivi kumbe bado mpo?
Hii movie ya the bee keeper niliingoja kwa hamu ilivyotoka tu nikaipakua. Nikajuta, mbovu kupita maelezo, yani ni kama bongo movie tu.Utajua mwenyewe
Msiopenda maendeleo ya wengine 😅Umeona eeh
Wewe ni good boy mwaya. Wanaopenda good boys wakufuate
😂 ila hizi keyboard na fake ID zinazotupa uhuru wa kujiachia ni hatari sana.Wewe ni good boy mwaya. Wanaopenda good boys wakufuate
Ndio hivyo hakuna namna. Unakuta hapo nyuma ya keyboard ni mbaba wale tunawaita shaba, watoto wakikuona nduki.😂 ila hizi keyboard na fake ID zinazotupa uhuru wa kujiachia ni hatari sana.