Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Wanaume wote tunajua, wanawake wanakuwaga kama na upepo flani hivi.
Mfano, ukiwa unatoka na wake za watu yan kuna ka upepo ka wake za watu kanakuwa kanakufata, ukigusa tu imo.
Utafiti wako una kitu kiongozi, ni sahihi.
Hii kweli mzee baba
Sasa hivi nagusa sanaa ma singo maza yaani kila pisi nikigusa ni singo maza
Huu upepo muda huu unanipuliza sanaa.

#YNWA
 
Huko ni kutokujitambua unless huyo mwanaume ndio anakuweka mjini

Kwanini uwe na mwanaume mhuni anakuliza kila siku wakati kuna good boys wengi ambao wanajielewa
Ndo hapo sasa? Au tatizo Moyo? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikuachiiii nakupenda wewe na huyo bashaaaa wako kudadeki oyaaaa weeee oya weeee [emoji28] nanukuu kutoka kwa waimba singeli......sio mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaa!!!
 
Back
Top Bottom