Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Nikuongezee kitu hapo

Wanaume malaya, anaweza kumbembeleza mtoto mkorofi na akatulia. Namaanisha mtoto mdogo, wa miezi kadhaa au miaka chini ya mitano hasa asiyeongea vizuri.
Sikuwah jua hili
 
Wanawake wasio timamu au watoto wa sekondari, Wanawake timamu na walio pevuka wanajihusisha na good men ili watengeneze familia bora.
Ww bado unahitaji kurudia course ya WS. 104 (analysis of women and their psychosocial setting ) ili uwafahamu vizuri wanawake. Kifupi hutujui bado
 
Wanaume wote tunajua, wanawake wanakuwaga kama na upepo flani hivi.
Mfano, ukiwa unatoka na wake za watu yan kuna ka upepo ka wake za watu kanakuwa kanakufata, ukigusa tu imo.
Utafiti wako una kitu kiongozi, ni sahihi.

Kuhusu wake za wenyewe. Wakikuinamisha na kukukalisha kwenye chupa utajua hujui huo upepo.
 
Ww bado unahitaji kurudia course ya WS. 104 (analysis of women and their psychosocial setting ) ili uwafahamu vizuri wanawake. Kifupi hutujui bado
Hakuna tofauti ya mwanamke na mwanaume linapokuja suala la utimamu wa akili na umalaya.

Hapa tunamuongelea binadamu malaya na asiye malaya, binadamu timamu na asiye timamu mengine ni mbwembwe tu za kuhalalisha uhuni.
 
Bado narudia huwaelewi wanawake
 
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya.

Let's get Back to our business...
Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana 'malaya' anajua kucheza na saikolojia za wanawake....

Mfano anapohisiwa tu kwamba amechepuka au amemkosea mwenza wake... Pamoja na mwanamke wake kupanic na kuongea maneno Mabaya Sana kumhusu yeye atabaki na utulivu bila panic.... Ataongea kwa sauti tamuuu yenye kupenya vizuri masikioni mwa mwanamke akimuelewesha kwa nini imekuwa hivyo au atakana kabisa kufanya kosa husika. Wakati huo aweza kuwa hata ana mkiss au anafanya namna nyingine ili mradi tu kumfanya mwanamke atulie na kesi iishe Hali itulie. Wanaume wa aina hii huwa Hawana maneno mengi wao kauli zao mara nyingi ni fupi na maneno Yao ni machache.

Hivi ushajiuliza kwa nini ni ngumu Sana kuchomoka kwa wanaume wa aina??hii ndio sababu.

Wanajua nini wafanye wakati gani na kweli mwanamke anageuka mtumwa wa penzi La player.

Wanawake: Ushawahi kujikuta kwenye hiyo Hali?? Kwamba mwanaume ana dalili zote za kuwa mchepukaji lakini kila ukimbananisha anapangua na unajikuta wewe ndio mkosaji?

Kwa kweli wanaume type hii ni hatarii.
Mitambo ya kuengeneza Single mother.
 
Hii stress ya kutombewa mke na players inaumiza sana. Ndiyo maana good boys wajanja wanazalisha tu hawaoi. Kama kuoa wanaoa wanawake ambao siyo warembo, hata wakichapiwa haiumi kivile.
 
Hii stress ya kutombewa mke na players inaumiza sana. Ndiyo maana good boys wajanja wanazalisha tu hawaoi. Kama kuoa wanaoa wanawake ambao siyo warembo, hata wakichapiwa haiumi kivile.
Hakuna kitu kinaitwa kutombewa ila kuna mwanamke kuwa malaya na kutombwa hovyo. Haya matumizi ya maneno kutombewa yanaficha uhuni wa mwanamke. Ukioa malaya mpe talaka.
 
Na kweliii
Na mnawapenda kweli,halafu wakisha wavurunga na kuwazalisha,mnakuja kuwapa lawama wanaume wote ,mnamsemo wenu "wanaume wote mbwa ".

Kumbe kuna nice guy umempiga chini nae umemweka kwenye kundi la mbwa,sometimes akili zenu mnazijua wenyewe.Baada ya hapo mnaenda makanisani huko kutafuta mume bora (nice guy) ambaye mwanzoni ulimkataa.
 
ni confidence tu inatakiwa, ukitaka umle mwanamke na yeye ndo akulipe inawezekana pia
ni ujue tu jinsi ya kufanya ushawishi, nipo na msela hizo ni sera zake. yeye ndo analipwa ,yeye hatoi kitu na anawapata wa kutosha

Mwambie msela, yeye tayari ni mchumba, keshaolewa
 
Na mnawapenda kweli,halafu wakisha wavurunga na kuwazalisha,mnakuja kuwapa lawama wanaume wote ,mnamsemo wenu "wanaume wote mbwa ".

Kumbe kuna nice guy umempiga chini nae umemweka kwenye kundi la mbwa,sometimes akili zenu mnazijua wenyewe.
Huwezi penda malaya kama si malaya na bahati mbaya malaya ni wengi kuliko wasio malaya na wanauhalalisha.
 
Huwezi penda malaya kama si malaya na bahati mbaya malaya ni wengi kuliko wasio malaya na wanauhalalisha.
Kwa experience yangu nice guy wana bahati mbaya na mapenzi na hata wataalamu wa Saikolojia walishaprove hili.

Halafu kama hujui wanaume malaya wanabahati sana ya kupata wanawake walio tulia, nilishaliprove hili.
 
Mwanaume wanaoongelewa ni wale wachepukaji na wengi ni kutokana na suala la mke mmoja ndo unakuta anakuwa na vimchepuko viwili vitatu na anavitunza kama mke tu ni vile hawezi halalisha.

Players/Malaya au bad boys, mwanaume malaya sijui bad boys hana utimamu wa kutunza famila na ukiona mwanamke anapenda kuwa na player/malaya waziwazi ujue naye ni malaya au hana utimamu wa akili.
 
Back
Top Bottom