Wanawake wakaa kwa players maranyingi ni saababu za kisaikologia tuu.
Mwanamke ni tester by nature, atakua anakujalibu kwa mengi kukujua ili kukuwin. Mfano anakupa kila kitu ila bado anakufuma na wadada means anaona kua upo demanded na wanawake wengine tena huenda wazuri kuliko yeye ndo keypoint yenyewe, means ni challenge ya yeye queen kulituliza kukuwin ili ajiprove kua ye ni mwanamke bora kati ya wengi wanaokutaka thats all.
Bila kumpa iyo challenge mwanamke anajihisi dormant, hajui kama we ni bora kias gani ikiwa hakuna dem wala wanawake wanao mchallenge kwenye colony lake so akiona huko nje kuna mwanaume anapapatikiwa anaona huko ndo kwa kwenda kufanya battle maana she deserve better.
Anyway ushauri wa kiume ni jamaazangu gongeni pisi zilizonyooka, pangilia maisha yako vizuri, hakikisha haueleweki, af kua na misimamo utaona wanawake watavyoteseka na wewe.