Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ajabu sio kwenye sex Ila the way ana act akiwa around...Wanawake wanapenda sana mwanaume players sababu wanahitaji mwanaume mwenye experience kubwa.
Mwanaume akifanya mapenzi na wanawake tofauti tofauti kunampa uwezo mkubwa wa kujiamini na kupunguza papara wakati wa sex.
mwanaume ambaye sio mzoefu kwenye mapenzi ana papara mchezoni na wengi hawana maajabu
Pia wanawake ni wadadisi sana wana ajabu hitaji kuona kwann jamaa anapendwa na wanawake wenzie,
Anataka kujuwa jamaa ana nn cha ziada hata abadilishe wanawake wa kila aina.
Tukae humo kwenye nyota ya UKIMWIIko hivi, ukipiga piga sana mademu, kuna kitu kinatokea tu naturally wanakufuata, hata kuongea unaweza ukawa hauongei sana.
Unakua na nyota ya UKIMWI
Tena anaetoa mimba ni mbaya kuliko single mother, mtu anaua kiumbe chake kisicho na hatia, atashindwa kukuua wewe ambaye waweza kumkosea?Na kutoa mimba sababu hawataki majukumu.
Kuna kaukweli ila ni kakutafuta.Tena anaetoa mimba ni mbaya kuliko single mother, mtu anaua kiumbe chake kisicho na hatia, atashindwa kukuua wewe ambaye waweza kumkosea?
Hyo ndy kujiamini ninayozungumzia,,Sasa ajabu sio kwenye sex Ila the way ana act akiwa around...
Kuna wanaume hata kabla ya sex wanavutaaa asee acha kabisa
Mmh unachoongea kina ukweli au unajipigia debe ,good boys kuwapata siku Hz imekuwa kazi Hadi tunatoka sadaka na kufungaYaani naona bora nihamie huko tu nibadili upepo, nimesoma maharishi mengi kuhusi good boy kwanza hata mademu hawatupendi kwa kuwa hatuwapigi matukio(tumepoa penzi halichangamki)
Pili kama huna demu ndio kabisaa hata kupata demu hupati inakuwa ngumu
Good boy wengi hatuna uzoefu wa haya mamboMmh unachoongea kina ukweli au unajipigia debe ,good boys kuwapata siku Hz imekuwa kazi Hadi tunatoka sadaka na kufunga
Ndomaana hatupendwi. Shule za mishenari zilitulea kipadri padri mno, tunafika chuo kikuu hatujui hata pa kuanzia, unapata demu, usipomchiti au kumfanyia ukatili, anakudharau.Good boy wengi hatuna uzoefu wa haya mambo
Basi maombi yako leo yamejibiwa, nione PMMmh unachoongea kina ukweli au unajipigia debe ,good boys kuwapata siku Hz imekuwa kazi Hadi tunatoka sadaka na kufunga
Hakika,mtu umepata demu unasema hapa safi nakuwa nae huyu tu, kumbe mwenzio anakuona mwege eti hujachangamka, unajikuta umefanya kila kitu ila unaachwa! Ni huzuni sana kakaNdomaana hatupendwi. Shule za mishenari zilitulea kipadri padri mno, tunafika chuo kikuu hatujui hata pa kuanzia, unapata demu, usipomchiti au kumfanyia ukatili, anakudharau.
Kuna mwanamke anapenda nice guys??Huko ni kutokujitambua unless huyo mwanaume ndio anakuweka mjini
Kwanini uwe na mwanaume mhuni anakuliza kila siku wakati kuna good boys wengi ambao wanajielewa
Yaani ni shida kwakweli.Hakika,mtu umepata demu unasema hapa safi nakuwa nae huyu tu, kumbe mwenzio anakuona mwege eti hujachangamka, unajikuta umefanya kila kitu ila unaachwa! Ni huzuni sana kaka
Tangulini mtu anaesimama katika unyoofu wa ki MUNGU na mtu aliesimama katika unyoofu wa kishetani wakawa pamoja,Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya.
Let's get Back to our business...
Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana 'malaya' anajua kucheza na saikolojia za wanawake....
Mfano anapohisiwa tu kwamba amechepuka au amemkosea mwenza wake... Pamoja na mwanamke wake kupanic na kuongea maneno Mabaya Sana kumhusu yeye atabaki na utulivu bila panic.... Ataongea kwa sauti tamuuu yenye kupenya vizuri masikioni mwa mwanamke akimuelewesha kwa nini imekuwa hivyo au atakana kabisa kufanya kosa husika. Wakati huo aweza kuwa hata ana mkiss au anafanya namna nyingine ili mradi tu kumfanya mwanamke atulie na kesi iishe Hali itulie. Wanaume wa aina hii huwa Hawana maneno mengi wao kauli zao mara nyingi ni fupi na maneno Yao ni machache.
Hivi ushajiuliza kwa nini ni ngumu Sana kuchomoka kwa wanaume wa aina??hii ndio sababu.
Wanajua nini wafanye wakati gani na kweli mwanamke anageuka mtumwa wa penzi La player.
Wanawake: Ushawahi kujikuta kwenye hiyo Hali?? Kwamba mwanaume ana dalili zote za kuwa mchepukaji lakini kila ukimbananisha anapangua na unajikuta wewe ndio mkosaji?
Kwa kweli wanaume type hii ni hatarii.
huwa nikifikiria wanawake waliopo now, basi kwenye ndoa naona tutataleliana tu.Yaani ni shida kwakweli.