Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Kunigusa huwezi
Maana naongelea mwanaume ambaye anaenda kuwa baba wa wanangu na mume wangu. Hapo umalaya uko wapi? Akupotezee kwa sababu Wewe umeshupaza shingo hutaki kuelewa Uzi ulimaanisha nini umekazana kushusha ma essay sjui una stress huko mtaani. Relax jf sio ngumu ki hivyo.
Uyo playboy wako ndio baba ajae wa watoto wako..? 😁
 
Ukitaka kumu win players usireact matukio yake wewe muonyeshe umejua kisha mkaushie kuwa normal as usual
Kwa kweli ni kutoku react tu ndo dawa.
Tutazurura Hadi wapi wakat wanaume wengi ndo hamuwez kuwa na mmoja!? Bora shetan unayemjua kuliko malaika usiyemjua.
 
Wanaume wote tunajua, wanawake wanakuwaga kama na upepo flani hivi.
Mfano, ukiwa unatoka na wake za watu yan kuna ka upepo ka wake za watu kanakuwa kanakufata, ukigusa tu imo.
Utafiti wako una kitu kiongozi, ni sahihi.
Ni ukweli wakati niliwapakuwa sana wawenyewe ila kuna siku almanusura nipakwe KY nadhani tangu siku hiyo sijarudia tena
 
Mwanaume wanaoongelewa ni wale wachepukaji na wengi ni kutokana na suala la mke mmoja ndo unakuta anakuwa na vimchepuko viwili vitatu na anavitunza kama mke tu ni vile hawezi halalisha.

Players/Malaya au bad boys, mwanaume malaya sijui bad boys hana utimamu wa kutunza famila na ukiona mwanamke anapenda kuwa na player/malaya waziwazi ujue naye ni malaya au hana utimamu wa akili.
Hapo umeongea, mwanamke anayependa mwanaume malaya, nayeye ni malaya mbwa.
 
Nimeusoma na kukuelewa ila umetofautina na wa kwangu.

Hakuna tatizo hapo ila regardless ya utofauti wetu uhalisia ni kwamba MALAYA NI WENGI SANA MJINI wanajifanya wanapenda badboys kumbe umalaya tu.
Yaani natamani nikupe hela ya soda na bites, unaongeaga point sana.
 
Nipo na stresiwa na player mmoja hapa wakati yupo good guy mmoja ana show respect kiaina lakin moyo unamkataa.
Player akivurunda anapanga maneno hatoi nafasiii 😂😂😂😂. Kila tunachopanga hakiendii
Player jamanii
Huyo unaemuita player, unamuona ni handsome, huyo good guy unamuona ana sura mbaya, utakataa ila huo ndo ukweli cacutee
 
Zamani enzi zetu za Chandimu uwanjani kuna wachezaji wa aina mbili wapiga dochi wale wakubutuabutua alafu kuna wale wakutulia na kuangalia kushoto kulia kisha chenga mbili tatu wanaachia Pasi, sasa hawa wakubutuabutua ndio wanaitwa players kwenye Mapenzi ni wazee wa kubutuabutua hua hawatoi Pasi sasa ukishabutuliwa tulia
 
Wanawake wanapenda sana mwanaume players sababu wanahitaji mwanaume mwenye experience kubwa.
Mwanaume akifanya mapenzi na wanawake tofauti tofauti kunampa uwezo mkubwa wa kujiamini na kupunguza papara wakati wa sex.

mwanaume ambaye sio mzoefu kwenye mapenzi ana papara mchezoni na wengi hawana maajabu

Pia wanawake ni wadadisi sana wanahitaji kuona kwann jamaa anapendwa na wanawake wenzie,
Anataka kujuwa jamaa ana nn cha ziada hata abadilishe wanawake wa kila aina.
 
Back
Top Bottom