joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Saikolojikali ipo hivyo, mwanaume hata awe malaya vipi akija kuoa atataka aliye tulia,wanaume tuna thamini purity ya mwanamke na ndio maana duniani kote mwanamke bikra hupewa thamani kubwa sana. Ila Mwanamke huvutiwa na mwanaume ambaye ni playboy (muhuni).Mwanaume wanaoongelewa ni wale wachepukaji na wengi ni kutokana na suala la mke mmoja ndo unakuta anakuwa na vimchepuko viwili vitatu na anavitunza kama mke tu ni vile hawezi halalisha.
Players/Malaya au bad boys, mwanaume malaya sijui bad boys hana utimamu wa kutunza famila na ukiona mwanamke anapenda kuwa na player/malaya waziwazi ujue naye ni malaya au hana utimamu wa akili.
Hata Mauki na baadhi ya mijadala ya kimahusiano wasawahi kuprove hili.Nice guy always wana bahati mbaya na mapenzi,hiki ninacho kizungumza nimesha kiprove kupitia makuzi yangu na watu walio ni zunguka.